Jamaa wasanii mnoIla wasiojulikana ndio hajui waliko!
Kwa ushahidi wa mazingira, hilo lina uhakika wa asilimia 100Sirro keshajua akina nani walimpiga Lissu risasi na kumpoteza Azory Gwanda na Ben Saanane?
Tuukatae ulinzi wao watampa sumuAmesema Tundu Lissu akipitishwa kuwa mgombea watampatia ulinzi.