Mafanikio hubeba Kila aina ya uchafu duniani

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,187
1,834
Ushawai jiuliza kwanini hufanikiwi?, Ushawai jiuliza nafanya Kila biashara na pia nashindwa fanikiwa?

Nakujuza kitu ukihitaji kufanikiwa, Cha kwanza lazima ujue nini maana ya mafanikio , lakini pia unatakiwa ujue unasimamia mlango upi ?

Kuna milango miwili tu, Giza na Nuru ,
Kuna rafiki yg ni mchungaji alishawai niambia nikihitaji kufanikiwa nichague kati ya MUNGU AU shetani ,

Vijana wengi ndio tunaposhindwa , Leo hii angalia walioamua kuchagua njia wao wanafanikiwa Kila siku ,

Leo nawafunda kitu ambacho hutokuja kufundishwa kwingine , je wajua mafanikio ni sawa na sahani iliojaa Kila uchafu

Je wajua ni kwanini wasanii wengi hufanya mambo yanayoendana na ushoga ? , Je wajua ni kwa nini huvaa mapete mengi yenye arama za mafuvu , je wajua ni kwa nini wimbi la wasanii hufanya mapenzi na kulekodi tendo na kuachia hewani ?

Je wajua ni kwanini wasanii wengine hua wanasafili mala nyingi nchi za ulaya mala nyingi zaidi unajua wanafata nini ? , Sio show tu ndugu watu wanaenda kufanyia aibu zao mbali hukoo wasijulikane ,

Sitowaibia Siri nyingine , but mimi ni mdau wa mziki pia Nina msanii wg ambae Ninamsimamia na katoa nyimbo nyingi sana Tena kalii kuliko wasanii unaowasikia , ila Sasa kwenye kutafuta tobo hapo ndio nilijua DUNIA ikoje , we endelea kula ugari dagaa siku ziende tu na siku ya kufa ifike uzikwe na ndoto zko kaburini

Naludia Tena DUNIA NI SAHANI ILIOJAA KILA UCHAFU UNAWEZA KUJIKUTA HUPO KWENYE SAHANI HIO
 
Je wajua ni kwanini wasanii wengi hufanya mambo yanayoendana na ushoga ? , Je wajua ni kwa nini huvaa mapete mengi yenye arama za mafuvu , je wajua ni kwa nini wimbi la wasanii hufanya mapenzi na kulekodi tendo na kuachia hewani ?
Wengine hata nyimbo zao wanasema wanapaka mate iteleze kama nyoka pangoni na wanalamba mitaro.....

Huuu ni ushoga wa waI wazi kabisa.
 
Ila Kuna watu hawaamini Mungu na wala hawaamini shetani na wamefanikiwa vizuri kbsa ,nilikuwa mitaa Fulani san Diego kule wengi wanaishi watu wenye hela lakini ni atheist pia hawajifungamani na nguvu za giza na wamefanikiwa kbsa

Haya mambo ya kufanikiwa kwamba yanatokana na Mungu au shetani yapo huku Africa ambapo tunalogana Kila siku kwamba hata mtu ukipiga mswaki Kwa dawa ya Colgate mtu anakuonea wivu anaroga

Wenzetu mambo ni tofauti kbsa Yani lifestyle ya eneo husika na culture pamoja na uongozi umerahisisha fursa za mafanikio ambapo mafanikio Yao yana kuwa neutral sio Kwa force ya Nuru au giza
 
Mkuu fuatilia San Diego ni sehemu nyeti ya kikristo...walioweka misingi ya pale.....hata waliopo kama sio waamini wanatembelea..neema ya waliotangulia.
 
Ila Kuna watu hawaamini Mungu na wala hawaamini shetani na wamefanikiwa vizuri kbsa ,nilikuwa mitaa Fulani san Diego kule wengi wanaishi watu wenye hela lakini ni atheist pia hawajifungamani na nguvu za giza na wamefanikiwa kbsa

Haya mambo ya kufanikiwa kwamba yanatokana na Mungu au shetani yapo huku Africa ambapo tunalogana Kila siku kwamba hata mtu ukipiga mswaki Kwa dawa ya Colgate mtu anakuonea wivu anaroga

Wenzetu mambo ni tofauti kbsa Yani lifestyle ya eneo husika na culture pamoja na uongozi umerahisisha fursa za mafanikio ambapo mafanikio Yao yana kuwa neutral sio Kwa force ya Nuru au giza
jidanganye tu hivo hivo
usilolijua ni sawa na usiku wa giza
ogopaaa
 
Ila Kuna watu hawaamini Mungu na wala hawaamini shetani na wamefanikiwa vizuri kbsa ,nilikuwa mitaa Fulani san Diego kule wengi wanaishi watu wenye hela lakini ni atheist pia hawajifungamani na nguvu za giza na wamefanikiwa kbsa

Haya mambo ya kufanikiwa kwamba yanatokana na Mungu au shetani yapo huku Africa ambapo tunalogana Kila siku kwamba hata mtu ukipiga mswaki Kwa dawa ya Colgate mtu anakuonea wivu anaroga

Wenzetu mambo ni tofauti kbsa Yani lifestyle ya eneo husika na culture pamoja na uongozi umerahisisha fursa za mafanikio ambapo mafanikio Yao yana kuwa neutral sio Kwa force ya Nuru au giza
 
Jamii check wangesema huu uzi ni uzushi hauna ukweli wowote mafanikio ni juhudi
Binadamu hawajawai kuchoka kuongea na kubedha but ukipata mtu akakwambia ukweli wa mambo we fungua sikio usikie mengi zaidi
 
Kwahyo unatushayri vijana hasa wa kiume tuanze kunyoa nywele za nyuma tayari kwa kufumuliwa marinda? Hujanishauri
 
Back
Top Bottom