Assad ana kiburi. Huwezi kuona katiba ni supreme kuliko watumiaji wa katiba wenyewe. Kile kiburi cha Assad ni cha kishamba. Huwezi kuwa na kiburi juu ya watu ambao huwezi kuwafanya chochote NA WANAWEZA WAKABADILI HIYO KATIBA BILA KUWAFANYA CHOCHOTE. Waliokuwa wakimpa kibri wako wapi? Wamemsaidia nini? Kama kufa, kila mtu atakufa kwa wakati wake.Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Asante, lakini naona hukumu imegeuzwa kuwa ajenda ya kidini badala ya kuonekana kuwa iwe na manufaa na wataokuja baadae.Tafuta nakala ya huku usome yote, Achana na hao wanachukua mstari mmoja Tu
Asante, lakini naona hukumu imegeuzwa kuwa ajenda ya kidini badala ya kuonekana kuwa iwe na manufaa na wataokuja baadae.
Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?Tunajifunza mahakama za Tanzania zilimuogopa Magufuli zimesubiri mpaka afe kuonesha alivunja katiba.
Hivi kosa la Ndugai hadi akavuliwa uspika lilikuwa ni nini?Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Kama Mahakama imetamka kuwa katiba ilikiukwa wakati wa kumtoa kwenye nafasi yake maana yake hadi sasa hivi tunapo jadili hoja hii Prof. Asad ni CAG.Katiba hairuhusu CAG mstaafu kufanya kazi serikalini eneo lolote lile. Umesema Katiba iheshimiwe, halafu unataka ivunjwe tena!!
Hiyo ni home work kafanye kujua majaji.Kuhusu misikiti na makanisa kujengwa kwenye tasisi za serikali huo ni wenda wazimu serikali haina dini.Kama sio udini hao mahakimu wahukumu kesi ya Mbatia kuhusu Ndugai kabla mama ajatoka madarakani.Mimi naulizia tu kwani hao majaji waliotoa hukumu hii nao wamo kwenye hiyo ajenda ya Zitto na Asad?
Hivi pale UDSM hakuna jengo la msikiti na kanisa yaliyojengwa mule ndani?
Umeandika yote mazuri kasoro pale kwenye ushauri. Sheria au Katiba inazuia CAG kupewa kazi nyingine akishamaliza muda wake. Pili Charles Kicheere aliteuliwa kisheria hivyo basi Prof Assad hawezi kurudishwa.Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Prof Assad hakufukuzwa kimakosa. Prof. Assad ni jeuri. Prof. Assad alimshutumu Magufuli kwamba alipokuwa Waziri wa Ujenzi aliuza nyumba za serikali kiholela. Shutuma hizo alizitoa(mara tu) BAADA ya Magufuli kuchaguliwa kuwa mgombea urais. CCM kwa tuhuma hizo ingeweza kubatilisha uteuzi wa Magufuli bila lawama kutoka kwa mtu yoyote. Lakini CCM haikufanya hivyo. Kwa hiyo Prof. Assad amecheza kamari ameshindwa. Ashukuru kwamba kichwa chake bado kipo juu ya shingo lake.Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Wewe ni mwongo labda unaye Prof Assad ambaye ni mdoli nyumbani kwako. Lakini siyo huyu Prof Mussa Assad former CAG. Uadilifu wake hauna mashakaAsad alipaswa tena kufukuzwa kabisa hakufaa. Mi naona hata uteuzi walikosea kumteua mtu ambaye ni fundamentalist ambaye anaamini ktk kile anachoamini yeye. Ndiyo maana mfumo ndiyo ulimuondoa wala siyo Dkt Magufuli. Ukikumbuka kuna hela fulani nadhani zilikuwa za kitengo yeye Asad akaomba azikague wakamuambia hapana utaratibu siyo huo, akakomaa ila kaenda kusoma ripoti asubuhi hakukuta kitu hahaha. Hii habari alisimulia yeye mwenyewe. Kikubwa Asad siwezi kumtetea ni moja ya wasomi majanga wasiokuwa na mchango wa taifa. Kila jambo lina mipaka yake, halafu kibaya kabisa akawa anatumika kupindisha report.
Mi nilochojifunza kuwa Muhimili wa Mahakama huko kwaajili ya kulinda na kuficha mabaya, ukiukwaji wa Sheria na Katiba katika awamu husika.Baada ya Mahakama Kuu kutoa hukumu yake na kubaini kuwa Prof. Assad aliondolewa katika nafasi yake ya CAG kimakosa, kwamba Katiba ilivunjwa, viongozi katika maeneo mbalimbali ya serikali mnajifunza nini?
Kuna mambo mengi sana ya kujifunza katika sakata la Prof. Assad kuondolewa katika nafasi ya CAG;
Kwanza baada ya hukumu ya Mahakama Kuu kutamka kuwa katiba ilivunjwa kumuondoa CAG Assad, nilivuta picha ya siku Prof. Assad alipokabidhi ofisi na kubeba kilicho chake kweye gari yake ndogo na kisha kuondoka! Picha ya siku ile ilinihuzunisha sana na ilionesha kuwa kulikuwa na uonevu na udhalilishaji mkubwa.
Jambo la kujifunza;
1. Viongozi mliopewa dhamana katika maeneo mbalimbali ya taasisi za serikali acheni kuwaonea waliyo chini yenu kwani malipo ni hapahapa Duniani, lazima utadhalilika.
2. Tuache uonevu na unyanyasaji kwa waliyo chini yetu.
3. Cheo ulichonacho leo ni dhamana tu huwezi kuzikwa nacho, watendee mema walio chini yako.
4. Tuheshimu katiba na sheria za nchi.
Ushauri:
Prof. Assad arudishwe kwenye nafasi yake au apewe nafasi ya juu zaidi, ikiwezekana awe hata Gavana wa BOT.
Ni kweli kabisa kuna maeneo mengi anaonekana ni kweli alikua na dhamira ya kuweka mambo sawa tatizo ni approach alizokua anatumiaMagufuli alikuwa na uchungu kweli na maendeleo ya hii nchi. Shida ni pale alipoamini kuwa ni yeye pekee alikuwa anajua kila kitu. Ule ulikuwa ni ubinafsi.
Mkuu,Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?
Sheria iliyotumiwa ndo inapingana na katiba. Na siyo raisi kavunja katiba.
Sheria zina loophole nyingi na wanaojua kuzisoma wanajua pakupenyea.. haya baada ya hukumu Assad atarudishwa kwenye nafasi yake? Atapewa pesa or what?
Mbona hiyo katiba inavunjwa sana na hiyo mahakama ipo kimya?
Aliyekufa kafa mpumzisheni.. mkiendelea kurudi zama zake ni kuonesha kiasi gani siasa za tanzania haziwezi kusogea bila kutaja jina lake.
Umeandika yote mazuri kasoro pale kwenye ushauri. Sheria au Katiba inazuia CAG kupewa kazi nyingine akishamaliza muda wake. Pili Charles Kicheere aliteuliwa kisheria hivyo basi Prof Assad hawezi kurudishwa.
Sanasana kama kwenye Yale maombi waliomba apewe mishahara/ masilahi hadi muda wake rasmi wa kuachia kiti kisheria basi hilo linawezekana.
Kasome hiyo hukumu yote.. uje utueleze ni wapi imesema katiba ilivunjwa na raisi?
Sheria iliyotumiwa ndo inapingana na katiba. Na siyo raisi kavunja katiba.
Sheria zina loophole nyingi na wanaojua kuzisoma wanajua pakupenyea.. haya baada ya hukumu Assad atarudishwa kwenye nafasi yake? Atapewa pesa or what?
Mbona hiyo katiba inavunjwa sana na hiyo mahakama ipo kimya?
Aliyekufa kafa mpumzisheni.. mkiendelea kurudi zama zake ni kuonesha kiasi gani siasa za tanzania haziwezi kusogea bila kutaja jina lake.
Magufuli alitoa case study nzuri sana ya kufanya rejea kwa nini nchi inahitaji katiba mpya inasikitisha bado kuna wananchi hawajapata somo akitokea magufuli type mwingine uko mbeleni akaingia ikulu nina uhakika tumekwisha maana tayari hayati magufuli kaonesha udikteta unawezekana na pia uyo potential magufuli atakaekuja ashajua mwenzake alikosea wapi kwaiyo hawezi kurudia makosaInasikitisha kuwa Assad alionewa lakini inasikitisha zaidi kuwa watu walishindwa kuhoji chochote kipindi cha Magufuli. Nina yakini kama Magufuli angekuwa hai leo hii, achilia mbali hukumu hata hiyo kesi isingesikilizwa.
Kama taifa tuna kubwa la kujifunza juu ya mustakabali wa maisha yetu. Ikiwa mahakama ambayo ni muhimili unaojitegemea unashindwa simamia haki kwa kuogopwa mtu mmoja, tujiulize wangapi walihukumiwa/waliwajibishwa pasi kuwa na hatia.
Kuna kina Assad wengi wataendelea kuwepo kupitia tawala zote zijazo endapo katiba haitobadilishwa. Mamlaka ya raisi yamekuwa makubwa mno kiasi cha kujisahau nae ni binadamu.
Waingereza wana msemo.Ni kweli kabisa kuna maeneo mengi anaonekana ni kweli alikua na dhamira ya kuweka mambo sawa tatizo ni approach alizokua anatumia