JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,938
Jana nikiwa ndani ya gari la Sinza kupitia tandale uzuri nikasikia mama mmoja anasema nishushe Califonia, nikashangaa kweli kweli, au sijui watu wa pale hawajui Califonia inavyofanania hadi waite mahali pale jina hilo, hizi ni sifa za kijinga, kwa nini wasiite tu majina yetu, kwa tumbo n.k. Kuna wengine eti FC Barcelona ya manzese, hawa kweli wanaifahamu Barcelona inafanania vipi?