Tunajidanganya wenyewe

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Jana nikiwa ndani ya gari la Sinza kupitia tandale uzuri nikasikia mama mmoja anasema nishushe Califonia, nikashangaa kweli kweli, au sijui watu wa pale hawajui Califonia inavyofanania hadi waite mahali pale jina hilo, hizi ni sifa za kijinga, kwa nini wasiite tu majina yetu, kwa tumbo n.k. Kuna wengine eti FC Barcelona ya manzese, hawa kweli wanaifahamu Barcelona inafanania vipi?
 
[h=3]BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"[/h]
 
Labda hayo majina yanatokana na duka/jengo la biashara maarufu iloyopo eneo husika, mfano saloon,mini supermarket, petrol station n.k
Mfano; sinza madukani.
 
Haruna Moshi=Boban,John Boko=Adebayo,Jamuhuri Kihwelo=Julio,Kelvin Yondani=Vidic teh teh teh...
 
Back
Top Bottom