DadiMkaliWao
Senior Member
- Apr 22, 2019
- 197
- 339
Bikra ya kutengeneza anatapeliwa fala tu.
Kwanza hakuna mwanamke anayeweza kutengeneza u-innocent wa bikra. Maneno, hisia, mapozi na matendo ya bikra wa kutengeneza ni mbingu na ardhi ukilinganisha na bikra og.