Tunaishi kama kwenye jumba la BIG BROTHER

Tunaishi kama kwenye jumba la BIG BROTHER

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,174
Reaction score
166,160
Maisha ya hapa jamvini yamefanana sana na yale maisha ya kwenye jumba la big brother. Kuna Mods wanao tu monitor na hatuna uwezo wa kuwaona, Mods ni kama Big Brother mwenyewe anaye wajua na kuona kila kitu kinachofanywa na membaz.
Kuna kugombana hapa jamvini, kurushiana maneno, na makundi ya kila aina.
Yaani raha kweli, sina hata haja ya kushiriki kwenye hilo shindano la Big Blaza kwa kuwa tayari nimo ndani ya nyumba.
 
we are living la vida loca. Maisha yetu yamejaa wehu kama kwenye jengo la big brother
 
Ukilete mingumi wanakuban kama alivyofanyiwa Lotus. Bujibuji upo juu
 
Zaidi ya hapo humu ndani kuna na hot issues kibao alafu sisi hatunanii kikweli kama wale
 
Zaidi ya hapo humu ndani kuna na hot issues kibao alafu sisi hatunanii kikweli kama wale

kuna watu wanakamuana ki sawasawa tena ni wachangiaji wazuri sana wa lile jukwaa la watakatifu
 
Back
Top Bottom