johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,115
Chadema iko midomoni tu lakini huku field wenyewe wanajijua hamnaga kitu
Chadema iko midomoni tu lakini huku field wenyewe wanajijua hamnaga kitu
Mkuu, kupost thread moja ni buku saba kwa 'vijana' wa pale Lumumba johnthebaptist in particular. Kwa speed ya huyu mzee, ana kipato kizuri kwa mwezi, hii ni kazi kwao.Nje ya mada, hivi we mzee huwa huna kazi nyingine ya kufanya.
Mkuu kwa nini unanitafuta dhambi isio ya lazima kuelekea mwaka mpya,ya uhongo ! Nikutakie mwaka mpya na wakati huo nikutahalifu kuwa ccm mpaka mda mda huu imekufa vibaya Mno,inaonekana kwa sababu tu ipo madarakani,Chadema iko midomoni tu lakini huku field wenyewe wanajijua hamnaga kitu
Hivi, 2015 kama mgombea wao angeshinda, wangekuja na mabadiliko gani kwa mfano!Kwa mapito inayopitia Chadema na ukweli kwamba bado " inadunda" ni ishara tosha kuwa wana spirit ya mabadiliko hata kama wakati bado haujafika.
Maendeleo hayana vyama!
A fair comment, at least.Kinachoibeba chadema ni kitu kimoja tu, ukiisoma historia ya vyama vingi tangu 1992 mpaka sasa, Chama tawala (CCM) kimekuwa kikitumia kila mbinu kukidhoofisha chama cha upinzani chenye nguvu kwa wakati huo huku ikikiacha chama fulani cha upinzani kilicho hafifu kikue kwa kasi sana hatimaye kinakuwa chama kikuu cha upinzani.
Sasa, ukijaribu kutafakari hatua zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya Tano ni hatua za kukataa chama tofauti na chadema kisikue. na hiyo ndiyo inaipa nguvu chadema ya kuendelea kuwa chama imara cha upinzani kisichokuwa na mbadala wake.
Ondoa dola uone kama hata jiwe atabakiaChadema iko midomoni tu lakini huku field wenyewe wanajijua hamnaga kitu
Kwa hiyo unataka jiwe akusaidie kuiondoa hiyo dola! Hiyo nguvu ya umma inayoimbwa iko wapi?Ondoa dola uone kama hata jiwe atabakia
Mliambiwa na Amsterdam andamaneni muindoe hiyo dola mkajificha uvunguni mwa vitandaOndoa dola uone kama hata jiwe atabakia
Wapumbavu wanasubiri Amsterdam aje kuwasaidia kuiondoa serikali. 😂😂Mliambiwa na Amsterdam andamaneni muindoe hiyo dola mkajificha uvunguni mwa vitanda
Umepatwa na nini kuisifia chadema leo?Na huo ndio ukweli mchungu.
Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.
Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko viongozi 100 waliojichagua wenyewe.
Kwa mapito inayopitia Chadema na ukweli kwamba bado " inadunda" ni ishara tosha kuwa wana spirit ya mabadiliko hata kama wakati bado haujafika.
Kadhalika mzee Hashim Rungwe hakuonyesha kuyumbishwa na CCM pamoja na udogo wa chama chake cha Chauma.
Huyu kweli ni Muha wa Kigoma tofauti na yule Zitto Kabwe wa ACT wazalendo au Kafulila wa CCM ambao ni bendera fuata upepo.
Nawatakia wanaJF wote Heri ya Mwaka mpya 2021.
Maendeleo hayana vyama!
Amstadam bado hajatujua watanzania... atatujua vizuri kadri atakavyobaki mwenyewe na makarabrasha yake pale ICCMliambiwa na Amsterdam andamaneni muindoe hiyo dola mkajificha uvunguni mwa vitanda
Sumu haionjwi, hawa matapeli wengine wakipewa nchi itakuwa majuto mjukuu.Tanzania hatuna upinzani, iacheni CCM ibaki kuwa CCM