Tunahitaji nini?

...Chauro hili ni gumu sana kushauri kwani "siri ya mtungi....!"
huo mfano uloutolea wa kwenda dukani, kwanini udanganye kwa hilo?
Uongo utaokuepushia shari, au kuumiza hisia za mwenzio kidogo unakubalika.

kulazimisha uongo uwe ukweli hiyo haingii akilini. Ni sawa na mtu akulazimishe ukiri
umezini nje wakati sio kweli,...eti nawe kwa kutaka kumfurahisha unajibu ee!
Ishi vile wewe unaamini utakuwa comfortable, usijilazimishe kuishi kinyume na matakwa yako,
Usijegeuka mtumwa wa nafsi yako.
 
...chauro hili ni gumu sana kushauri kwani "siri ya mtungi....!"
huo mfano uloutolea wa kwenda dukani, kwanini udanganye kwa hilo?
Uongo utaokuepushia shari, au kuumiza hisia za mwenzio kidogo unakubalika.

Kulazimisha uongo uwe ukweli hiyo haingii akilini. Ni sawa na mtu akulazimishe ukiri
umezini nje wakati sio kweli,...eti nawe kwa kutaka kumfurahisha unajibu ee!
Ishi vile wewe unaamini utakuwa comfortable, usijilazimishe kuishi kinyume na matakwa yako,
usijegeuka mtumwa wa nafsi yako.

umeongea point mkuu
kuna baadhi ya watu including mimi
kuongea uwongo kunanikoseha raha
ni bora niongee ukweli hata kama
ni maudhi kwa mwingine.....
 
Back
Top Bottom