Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,014
- 6,771
Alafu wanasahau kuwa wanaandaa CHAN na AFCON! Kulete tensions tu!Najua kwa sasa wakenya wanajiandaa kufanya revenge kwenye hili.
Nawaza biashara ya makaa ya mawe kwenda Kenya itakuwaje kutokana na huu msuguano uliopo kwa sasa.
Ni nini? Mbona sielewi. Zitumeni hapa tusomeAlafu wanasahau kuwa wanaandaa CHAN na AFCON! Kulete tensions tu!
Alafu mbona Sheria nyeti kama zile zisipitie bungeni? Ama bunge ni wasaidizi binafsi wa Rais?
ccm ina viongozi wajinga!
Nyerere alikosea sana hasa kuweka usalama wa Taifa chini ya CCMBaada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara.
Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China.
Hasira ni jambo baya.
Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia.
Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
Kwa huu uchawa kwanini watoto na wajukuu wa Baba wa Taifa wasiendelee kula vumbi huku wale wa Mwinyi na Samia wakila mapande makubwa ya keki ya taifa?Baada ya Gen Z kumtukana Rais Samia mtandaoni,Wakenya wamefungiwa biashara.
Hiyo ni trade war. Tumeona balaa iliyotokea kati ya USA na China.
Hasira ni jambo baya.
Kiongozi anawaangusha Watanzania na Wakenya pia.
Katuni ya kipanya isiruhusiwe kubadili economic policy
Mbona nasikia ban imehusisha foreigners watu ikiwalenga hususani Wachina wa Kariakoo
Hizi habari za Wakenya mnazitoa wapi?View attachment 3425416
Abnormal
Wangeondoa wananchi wa EAC na SADC
kwenye hiyo ban, ila hawa Waasia wale ban tu kwa sababu hata kwao kufanya biashara hizo ndogo ndogo ni ngumu sana kama ww ni Mwafrika
Hata mananasi kiwangwa wakenywa huwa wanunuzi wakubwaNajua kwa sasa wakenya wanajiandaa kufanya revenge kwenye hili.
Nawaza biashara ya makaa ya mawe kwenda Kenya itakuwaje kutokana na huu msuguano uliopo kwa sasa.