Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,139
- 6,049
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.