Tunahitaji Joyce Banda Tanzania!

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
 
Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
14,598

Daniel Yona na Basil Pesa Mbili Mramba wanasoma uzi huu
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,950
2,000
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,

pengine nikupe ushauri mzuri ni wewe kwenda malawi kuomba uraia ili ukae karibu na banda tanzania siyo pako.
 
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .

Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,950
2,000
Najaribu kupima na kulinganisha kama jukwaa hili watu wangekuwa wanatukana kama wewe tungekuwa wapi siku hizi.
Haya ni matatizo ya malezi kwa mtu mwenye malezi mema aliyeishi na wazazi vema huwezi kuandika matusi kama kichaa vile.
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Simiyu Yetu bwana...!! hivi huwa huwezi ukaweka mawazo yako yote kwenye post moja!?
 
Last edited by a moderator:

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,950
2,000
Simiyu Yetu bwana...!! hivi huwa huwezi ukaweka mawazo yako yote kwenye post moja!?
Simu yangu ndogo mkuu nitumie kubwa au ipd kabisa,
jamaa anasema itungwe sheria ya kuwafikisha mawaziri mahakamani wakati tayari kunamawaziri wanakesi mahakamani jamaa yupo dunia gani,
baba v sema na huyo mshikaji halafu anamatusi umesoma post yake lakini.
 
kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,495
2,000
Najaribu kupima na kulinganisha kama jukwaa hili watu wangekuwa wanatukana kama wewe tungekuwa wapi siku hizi.
Haya ni matatizo ya malezi kwa mtu mwenye malezi mema aliyeishi na wazazi vema huwezi kuandika matusi kama kichaa vile.

Simiyu yetu imefika wakati wewe na wenzako tunawaona #mabwege kwa kupinga kila ushauri mzuri unaoelekezwa serikalini.kweli kuitetea ccm u have to act half insane.
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,564
2,000
Hatuhitaji raisi anayenyang'anya waume za watu. Hebu soma hii link Joyce Banda: From a husband snatcher to the President of Malawi | Face of Malawi. Hiki alichofanya ni danganya toto tu. Hafai kabisa huyu. Angekuwa na huruma na watu wake asingemtesa mke wa banda kwa kumchukulia mume wake. Ukisoma hiyo taarifa utaona kuna wakati alikuwa na wanaume wawili. Kweli tunahitaji raisi asiyekuwa na morals!!!! Hapana!!!
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Hatuhitaji raisi anayenyang'anya waume za watu. Hebu soma hii link Joyce Banda: From a husband snatcher to the President of Malawi | Face of Malawi. Hiki alichofanya ni danganya toto tu. Hafai kabisa huyu. Angekuwa na huruma na watu wake asingemtesa mke wa banda kwa kumchukulia mume wake. Ukisoma hiyo taarifa utaona kuna wakati alikuwa na wanaume wawili. Kweli tunahitaji raisi asiyekuwa na morals!!!! Hapana!!!

Hayo unayozungumzia wewe ni personal issues na personal issues ni choice ya mtu kama vile mtu kuchaguwa kuwa ms.enge ama msagaji. Uongozi bora haujali personal issue bali vitendo vya uchapa kazi na utawala bora. Katika personal choices Joyce Banda na Kikwete wanatofautiana nini, mbona kila mtu ana wapenzi wa pembeni tena naweza kusema bora ya Banda kuliko Kikwete mwenye nyumba ndogo lukuki ambazo kila Mtanzania anajuwa. Tanzania tunataka rais bora na mchapa kazi si huyu wa sasa wa Ze Comedy.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .

Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.

Naona umepata point! Kama bado, basi rudia tena kusoma na kama hujaelewa basi uliza ili ufafanuliwe maana nyie wanafunzi wa shule ya kata mko wengi siku hizi.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,

pengine nikupe ushauri mzuri ni wewe kwenda malawi kuomba uraia ili ukae karibu na banda tanzania siyo pako.Katika utawala bora popote duniani, rais mzuri ni yule anayewajibika kwa kuwajibisha mawaziri wake wabovu kama ni kuwafunga ama kuwataifisha mali zao pamoja na kuwafukuza kazi ili iwe fundisho kwa wengine kwani mali ya umma si ya mtu binafsi ama ulikuwa hujuwi hivyo? Hivi wewe umesoma japo hata kidogo ama wewe ni wale walioshindwa maisha na kuuza unga maana you don't make no sense, wewe unatokwa na povu kama vile umeambiwa utakamatwa, vipi wewe? Jifute povu hilo.
 
Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
1,753
2,000
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.
NDUGU YANGU usidanganyike na huyo raisi Joyce banda na hizo nguvu zake za soda. yeyey kafanya hayo sio kwa kuguswa na uhuni wa baraza lake la mawaziri ila kafanya hivyo kwa shinikizo la donors. tena kuna hella mamilion kwa tilion yamekamatwa yalioibiwa na hao mawaziri wake, ila yeye leo kupitia CCTV Africa kakataa katu katu kuwafikisha wahusika mahakamani, akidai kuwa hawawezi kumfungulia mashataka waziri kwa kusikia fununu tuu na uvumi.

Kwa hiyo kwa kutowachukulia hatua hao mawaziri wezi, huyo mama ni kubwa lao.

napenda sana kusikia ndugu yangu kama wewe ukiwa na uchungu huo kama mimi wa jinsi pesa zetu za umma zinavyoibiwa. Ila kwa sababu nchi iliisha haribwia tangia mwaka 1967 hakuna tena matengenezo ila ni kulia na huzuni tuu.
 
Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
8,071
2,000
Daniel Yona na Basil Pesa Mbili Mramba wanasoma uzi huuWaache wasome lakini habari ndiyo hiyo. Watu kama hawa wasio na faida kwa taifa lazima wakamatwe na kunyongwa kwani hawa ni majambazi wa mali ya umma ambao wanawanyima wananchi haki yao kwa kujinufaisha wao na familia zao, why waachiwe huru?
 
Kipigi

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
800
500
Nani kakwambia kuwa rais mzuri ni yule anayefukuza watu kazi,

pengine nikupe ushauri mzuri ni wewe kwenda malawi kuomba uraia ili ukae karibu na banda tanzania siyo pako.

SIMIYU unadharaurika namna hiyo,hasa pale uapoteta ujinga ,mtoa mada amesema kuwafukuza kazi mawaziri corrupted sasa hapo kuna shida,unamshauri aamie malawi eti tanzania sio yake kwani tanzania ndio tunapenda rushwa?,think harder,na sisi tunapenda tanzania iliyo safi na kuhama si suruhisho la matatizo ya anzania,na tukihama tutakuacha peke yako mpenda rushwa pamoja na serikali yako .
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,133
2,000
Huyu mama ni aina ya maraisi tuliowakosa tangu Baba wa Taifa ang'atuke. Laiti tungalikuwa na rais wa aina hii hawa waloficha pesa Uswiss tungaliwaweka segerea. Big-up Joyce Banda umethubutu na kuweza sijui kama pilot wetu atagusa moto ulogusa wewe!
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,366
2,000
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .

Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.

Nyote ni hao hao, na wewe unatukana! Au una ndugu yako serikalini unayefaidi kwa kuhujumu watanzania wengine, maana naona umeshupaa kutetea watawala
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,770
2,000
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.

Bila kumung'unya natamka hivi Bibie Kaweza kuyafanya yaliyomshinda akina JK.
 
MahinaVeterani

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
710
0
Jamani tuwe serious. Propaganda za Malawi hadi JF? Yaani katika Marais wote Afrika, Rais wa Malawi ndo wa kuigwa? Mawaziri aliowafukuza ilikuwa kwa ajili ya tofauti za kisiasa sio lingine.

Ni huyu huyu Banda aliyeruhusu ushoga na usenge ili "kulamba miguu ya Wazungu" hasa Waingereza na Wamarekani.

Je, tusahau hata mtafaruku mdogo wa hivi karibuni kati ya Malawi na Madonna, ambapo Madonna alitoa "msaada" wa pesa kwa Malawi kwa ajili ya kujenga Shule. Hakuna kilichojengwa, "msaada" ukupotelea kusikojulikana kupitia NGO/Taasisi ambayo Mkurugenzi wake ni Mdogo waje Joice Banda. Waziri wa Elimu alipoweka mambo wazi kuwa "msaada" ulijenga Shule hewa akaingia katika mgogoro na Serikali na Banda kama Rais.

Huyu ndio Rais wa kutamaniwa? Kama sio Propaganda za Malawi dhidi ya Tanzania, basi standards za Mleta uzi ziko chini sana!

Angalizo, nachelea kuita huo wa Madonna kwa Malawi "msaada". Nadhani ni sahihi kuita Malipo ya mauzo ya Watoto yatima ambapo Malawi walimuuzia/walimgawia Madonna. Hiyo ndiyo Malawi anayoitamani Malawi anayoitamani Mleta Uzi
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,564
2,000
Mada haikucompare hawa wawili bali ilimsifia Joyce. Morality ni kitu muhimu sana kwa kiongozi kwani anakuwa role model. Kama raisi wako anafanya makosa hii haimsafishi joyce. Ninachosema morals ni muhimu kwa kiongozi yeyote. Anywhere wewe huwezi kuelewa kwani lugha yako inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
Hayo unayozungumzia wewe ni personal issues na personal issues ni choice ya mtu kama vile mtu kuchaguwa kuwa ms.enge ama msagaji. Uongozi bora haujali personal issue bali vitendo vya uchapa kazi na utawala bora. Katika personal choices Joyce Banda na Kikwete wanatofautiana nini, mbona kila mtu ana wapenzi wa pembeni tena naweza kusema bora ya Banda kuliko Kikwete mwenye nyumba ndogo lukuki ambazo kila Mtanzania anajuwa. Tanzania tunataka rais bora na mchapa kazi si huyu wa sasa wa Ze Comedy.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom