Tunahitaji Joyce Banda Tanzania!

Tunahitaji Joyce Banda Tanzania!

Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.

Hoja nzuri,lakini dosari ni hayo matusi
 
Bila kumung'unya natamka hivi Bibie Kaweza kuyafanya yaliyomshinda akina JK.

Wewe unayaona na hata bubu anaweza kusikia haya na kuunga mkono ila watanzania wanaruka ukweli na kuanza kutupa maneno ya kajeli wakati ukweli huko hadharani. Najiuliza sijuwi ni shule za kata ndizo zinawafanya watu washindwe kujuwa nini kuwajibika na nini usanii wa siasa. Yaani kwa ujinga huu tutazidi kutawaliwa na viongozi wasio waadirifu (CCM) huku nchi yetu ikiibiwa nasi tunabaka kulalamika tu. Watanzania hamkeni jamani, tuache ujinga.
 
Mada haikucompare hawa wawili bali ilimsifia Joyce. Morality ni kitu muhimu sana kwa kiongozi kwani anakuwa role model. Kama raisi wako anafanya makosa hii haimsafishi joyce. Ninachosema morals ni muhimu kwa kiongozi yeyote. Anywhere wewe huwezi kuelewa kwani lugha yako inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.

Bado nashangaa. Hapa suala la uwajibikaji kama rais wa nchi na morals vinaingilianaje?
 
Sasa serikali imejaa, class-mates, mashemeji, marafiki na vimada unategemea nini?
 
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .

Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.

Wasambaa wameshaingia sasa kazi imeanza
 
Wazazi wako ndiyo waliokufundisha matusi au wewe mwenyewe ndiyo umejifunza hasira na kisilani kamwe hakijengi wewe kama umevurugwa kimpango wako .

Umekaa ukafakali ukaona uanze kutukana tu we hewa kweli waliokuzaa wanahasala wangejuu wasingekuzaa.

Na wewe rudi Chekechea ufundishwe tofauti ya "L" na "R" ndo uje ukumbatie hao mafisida wako hapa...
 
Kwa hapa Tanzania tunahitaji rais kama Joyce Banda wa Malawi mwenye msimamo wa kufukuza kazi mawaziri wake walio corrupted. Hii nchi yetu haina serikali ya utawala bora, usenge umetawala toka ikulu mpaka serikali za mitaa na umekithiri kila kona kiasi kwamba wananchi hawana tena hutu kama zamani. Kuondokana na ujinga huu lazima tuwe na rais mwenye uchungu na nchi yake na who walks the walk. Pia lazima ipitishwe sheria ya kuwafungulia mashitaka marais na mawaziri wezi ili heshima irudi kwa mali za nchi na wananchi wake.

Lakini mbona Joyce Banda nae ameruhusu Useng3? Sasa tukiwa na mfano wake si tutaruhusu ndoa za mashoga na wasagaji? Unalionaje hili?
 
J Banda kitu gani kaka! Shemeji yenu tu yule.
 
upo sahihi kabisa lakini mkuu angalia lugha unayotumia " usenge" naona kama umeenda mbali sana.
 
Samahani, sahihisho us.enge = ujinga! Poleni kwa waliokwazika kwani niliona us.enge ni neno linalotumiwa sana na jamii hapa mjini yaani imekuwa kama vile fashion mtu mjinga kuitwa ms.enge siku hizi japo hilo neno halijahalalishwa. Narudia tena, samahani.
 
J Banda kitu gani kaka! Shemeji yenu tu yule.

Unataka kuniambia mashemeji hawana akili ama nguvu ya kufanya vitu/maamuzi ya maana? Wanawake wanaweza tena kwa saana tu kama wakiwezeshwa. Huyu kijana wetu aliyepo madarakani sasa sijuwi mwaka wa ngapi huu mbona hana cha maana alichokifanya mpaka hivi sasa zaidi ya kuwachekea watanzania kila kukicha na kulimbikiza mali za nchi kwa mwanae ili ashindane na kina Lowassa kwa utajiri hapa Tanzania? Juzi tu imetoka ripoti ya UN kuwa watanzania ni watu waliokata tamaa ya maisha na hii inatokana na utawala mbovu uliopo madarakani. We need a change for CCM na viongozi wake (Ze Comedy) haitatupeleka popote maishani. Miaka zaidi ya 50 ya majiribio sasa bado tu hatujafika kweli na kila mwaka wa kampeni ahadi zile zile tu. Watanzania jamani tuhamkeni.
 
Lakini mbona Joyce Banda nae ameruhusu Useng3? Sasa tukiwa na mfano wake si tutaruhusu ndoa za mashoga na wasagaji? Unalionaje hili?

Nafikiri umesoma uzi vizuri. Sijasema mahala popote kwenye uzi wangu kuwa Kikwete aige ama alete us.enge (mashoga kuoana) Tanzania kama alivyofanya Banda, nimeshauri kuwajibika kwa kufukuza kazi mawaziri wazembe na wezi, kuna use.nge hapa? Mkuu rudia kusoma tena usitokwe na povu tu kuwahi keyboard ili uwe quoted first. Kwa akili yako unataka kuniambia Tanzania mashoga hawaoani? Hapa Bongo mashoga mbona wanaishi kindoa na mabwana zao kisiri siri na watu wanajuwa lakini hakuna kinachofanyika. In short, usenge hapa kwetu umeruhusiwa kiaina ili mradi tu watu (-------) wasifanye hadharani japo kuna kina Aunt wanaofanya hivyo na hata Kikwete anawafahamu. Kwani wewe hujawahi kuwaona ------- mtaani kwenu? Na kama Yes, wamechukuliwa hatua gani ama wewe kama raia mwema umefanya nini baada ya kuwaona wanakata viuno mtaani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom