hahahaaaaaaaaa hata urefa wenyewe naujua basi nimejipigia tu mweeee...Wapiga filimbi wewe refa?
Yeah, umeniwahi kuweka hiyo post madam Lisa ValentineJaqueline Kennedy Onassis, aliolewa na Rais John Kennedy wa USA na aliolewa pia na bilionea wa meli wa Kigiriki Aristotle Onassis.
Wewe ni mkali FaizaFoxy. Ni kweli, huyu mama anaitwa Jacquiline, aliolewa na J.F. Kennedy, kisha baada yaJaqueline Kennedy Onassis, aliolewa na Rais John Kennedy wa USA na aliolewa pia na bilionea wa meli wa Kigiriki Aristotle Onassis.
Jaqueline Kennedy Onassis, aliolewa na Rais John Kennedy wa USA na aliolewa pia na bilionea wa meli wa Kigiriki Aristotle Onassis.
Wewe Criss ni mkali wa vichekesho! Mbona huonekani kwenye jukwaa la Jokes?Anaitwa Odilia Massawe aliwahi kuolewa na Bw / Prosper Mushi wa Mutare Zimbabwe walifanikiwa kupata watoto wawili baada ya kuachana ndipo alipo olewa na Ndg David Kimati wa Longoi ingawa sasa inasemekana wamehamia Arusha .
Yeah, umeniwahi kuweka hiyo post madam Lisa Valentine
Give names of the men who married her.