Tunaendelea na Picha na Chemsha-Bongo.Huyu Mwanamama aliolewa Mara Ngapi? Taja Majina ya Waume Hao

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
SPECIAL IMAGE7.jpeg
 
Anaitwa Diana Spancer aliolewa mara moja na price Chales
H
Hapana Kurunzi. Ya Diana tumeshayamaliza kwenye thread ingine hapahapa.Ondoka huko uingereza uende amerika.
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Odilia Massawe aliwahi kuolewa na Bw / Prosper Mushi wa Mutare Zimbabwe walifanikiwa kupata watoto wawili baada ya kuachana ndipo alipo olewa na Ndg David Kimati wa Longoi ingawa sasa inasemekana wamehamia Arusha .
 
Jaqueline Kennedy Onassis, aliolewa na Rais John Kennedy wa USA na aliolewa pia na bilionea wa meli wa Kigiriki Aristotle Onassis.
Wewe ni mkali FaizaFoxy. Ni kweli, huyu mama anaitwa Jacquiline, aliolewa na J.F. Kennedy, kisha baada ya

kifo cha Kennedy, akaolewa na tajiri wa kigiriki aitwaye Aristotle Onasis.
Cheki picha chemsha bongo nyingine dada FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Odilia Massawe aliwahi kuolewa na Bw / Prosper Mushi wa Mutare Zimbabwe walifanikiwa kupata watoto wawili baada ya kuachana ndipo alipo olewa na Ndg David Kimati wa Longoi ingawa sasa inasemekana wamehamia Arusha .
Wewe Criss ni mkali wa vichekesho! Mbona huonekani kwenye jukwaa la Jokes?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom