Tunaendelea na Picha na Chemsha-Bongo.Huyu Mwanamama aliolewa Mara Ngapi? Taja Majina ya Waume Hao

Jaqueline Kennedy Onassis, aliolewa na Rais John Kennedy wa USA na aliolewa pia na bilionea wa meli wa Kigiriki Aristotle Onassis.
FF unaanza kunivutia....nahisi yale mambo mengine huwa unajichetua bure tuu wewe upo vema nakaribia kukupenda!!
 
Sory mkuu!
Inamaana FF jina lake ni Lisa Valentine, au?

Yeah, that's her real name

attachment.php
 
Meolewa mra 2 wakwanza dr slaa wakashindwana wa pili mwamvuta wa mbeya na kwa sasa nikimada wa mchina anaitwa que lei hapo japan

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Meolewa mra 2 wakwanza dr slaa wakashindwana wa pili mwamvuta wa mbeya na kwa sasa nikimada wa mchina anaitwa que lei hapo japan

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Peleka post yako jukwaa la jokes!
 
Wapendwa wadau wa Jamii Photos, napenda niwataarifu kwamba chemsha bongo hii ya picha imejibiwa kwa umahiri mkubwa na FaizaFoxy, pamoja na wadau wengine kadhaa. Kwa ajili hiyo basi, natangaza kwamba uchangiaji umefungwa
rasmi. Asanteni nyote!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom