Sasa tunamashine mpya, unaweza kuchimbiwa kisima mpaka mita 130 kwa 8M tu,ndani ya siku saba unakabidhiwa kazi yako.
contact: 0789 291116 (kwa wale watakao taka video kuona jinsi tunavyofanya kazi wanaweza contact whasapp kwa namba hiyo hiyo)
View attachment 227382View attachment 227383
mkuu ungeliweka bei kulingana na urefu mkuu niko serious nitakutafuta je survey ya kucheki kama maji yako au hayako ni bei gani mkuuSasa tunamashine mpya, unaweza kuchimbiwa kisima mpaka mita 130 kwa 8M tu,ndani ya siku saba unakabidhiwa kazi yako.
contact: 0789 291116 (kwa wale watakao taka video kuona jinsi tunavyofanya kazi wanaweza contact whasapp kwa namba hiyo hiyo)
View attachment 227382View attachment 227383
Tunachimba mita zote mwisho mita 150 kulingana na mashine zetu, mita 60 ni tshs 3600000(3.6M)Inamaana nyie mnachimba mita 130 tu, Kuna sehemu nataka kuchimba kisima cha mita 50 Au 60
Naendelea kujibu mkuu kuna pm nying na whatsup pia so nivumilie.The guy isn't serious,with all the questions he's chosen to remain silent.
Bei ni 5100000 tshs.Katika eneo langu baada ya Survey inaonekana maji yatapatikana katika metre 85. Utanichimbia kwa bei gani urefu huo?
Kisima kinakuwa na maji ya aina gani?
tunachimba mita zote mwisho mita 150 kulingana na mashine zetu, mita 60 ni tshs 3600000(3.6m)
Mashine zetu zinafika mwisho mita 150 kama kisima chako kinazidi mita hizo tunashauri utafute wachimbaji wengine.Mkuu ikizidi 130m gharama zinakuwaje?
je kwa Dodoma bei ikoje?