Tatizo letu ni maneno mengi. Nini kimemshinda kuchukua hatua mara moja katika hilo na tuone kweli wezi hao wakishughulikiwa? Mtu wa vitendo haongei sana, vitendo ndivyo huongea.
Ni kwa muda gani tumekuwa tukiibiwa haya madini huku maliasiri zetu zikibakwa kwa kasi ya kutisha? Si hawahawa sasa wameanza kuingia mikataba ya utafutaji na hata uchimbaji mafuta na gesi yetu bila kuwepo kwa sera wala sheria ya mambo hayo? Tunaelezwa tayari kuna watu wameshamega 10 percent zao na wameficha fedha ughaibuni.
Maselle hana ubavu wowote wa kuyakaba makampuni ya madini, amewekwa kwenye Wizara hiyo strategically kulinda maslahi ya JK na wabakaji wengine wa rasilimali kama ilivyokuwa kwa Ngeleja. Massele ni zao la ufisadi tu (Rejea ukaribu wake na Riz One na uchakachuaji wa kura za Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini). Kwa ujumla chini ya Serikali hii lisitegemewe jipya sana kwenye sekta ya madini.
Katika vipofu nawewe ni no.1. Hizo naona ni chuki zako binafsi. Kijana Masele ni mfano wa kuigwa katika utendaji kazi wake. Wewe fuatilia tu ziara zake zilivyo na impact, hata wachimbaji wadogo wanamkubali. Hayo uliyoyasema ni majungu na ukipofu wa kutopenda kupongeza mtu anayefanya vyema. Pole sana.

Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika. Huu ni mwanzo mzuri wa uajibikaji bila kuoneana haya wala kuogopa eti sijui huyu ni nani au ana nini au anatoka taifa gani lililoendelea. Tumeanza kuona mwanga. Kazeni buti hivyo hivyo hata kuwashukia wale wa ndani waliotutabiria mgao mkubwa wa umeme mara tu baada ya Bunge kumbe ni wahanga wa hatua mlizoanza kuzichukuwa. Nawashauri muelekeze nguvu zenu pia kukarabati miundombinu ya umeme maana TANESCO itaendelea kupoteza Units kibao kutokana na uchakavu na wananchi tunazihitaji hizo Units kwa ajili ya maendeleo yetu na kwa ajili ya kupunguza gharama za uendeshaji wa Shirika.
Hapa bado simwungi mkono Mh Stephen Maselle(Naibu waziri).Yeye kaanza na visamaki vidogo badala angeanzia na yale mapapa kama Kampuni ya Barrick Bulyanhulu Gold Mine. Kampuni ya Barrick Bulyanhulu Mine inasafirisha mchanga wenye dhahabu nje ya nchi mankonteina kwa makonteina Je Serikali inajua ni kiasi gani cha dhahabu kilichopo kwenye huo mchanga.Ningemsifu kama angeanza na wizi wa wazi wazi unaofanywa na Kampuni ya Barrick Bulyanhulu Gold Mine kwa kutuambia ni kiasi gani cha madini kilichopo kwenye huo mchanga unaosafirishwa. Maana Wazungu wa Barrick Bulyanhulu ni wajanja na wezi wa madini yetu wanazalisha kiasi kidogo hapa nchini kukwepa kodi na kile kikubwa wanakiacha kwenye huo mchanga na kusafirisha nje ya nchi kwenda kusafisha dhahabu huko bila ya wazawa kujua ni kiasi gani wanakwenda kupata.Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika. Huu ni mwanzo mzuri wa uajibikaji bila kuoneana haya wala kuogopa eti sijui huyu ni nani au ana nini au anatoka taifa gani lililoendelea. Tumeanza kuona mwanga. Kazeni buti hivyo hivyo hata kuwashukia wale wa ndani waliotutabiria mgao mkubwa wa umeme mara tu baada ya Bunge kumbe ni wahanga wa hatua mlizoanza kuzichukuwa. Nawashauri muelekeze nguvu zenu pia kukarabati miundombinu ya umeme maana TANESCO itaendelea kupoteza Units kibao kutokana na uchakavu na wananchi tunazihitaji hizo Units kwa ajili ya maendeleo yetu na kwa ajili ya kupunguza gharama za uendeshaji wa Shirika.
Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika. Huu ni mwanzo mzuri wa uajibikaji bila kuoneana haya wala kuogopa eti sijui huyu ni nani au ana nini au anatoka taifa gani lililoendelea. Tumeanza kuona mwanga. Kazeni buti hivyo hivyo hata kuwashukia wale wa ndani waliotutabiria mgao mkubwa wa umeme mara tu baada ya Bunge kumbe ni wahanga wa hatua mlizoanza kuzichukuwa. Nawashauri muelekeze nguvu zenu pia kukarabati miundombinu ya umeme maana TANESCO itaendelea kupoteza Units kibao kutokana na uchakavu na wananchi tunazihitaji hizo Units kwa ajili ya maendeleo yetu na kwa ajili ya kupunguza gharama za uendeshaji wa Shirika.
Mmeona mwanga wakati kuna mgao wa kisirisiri! Makubwa haya, this is living and other stories by Agoro Anduru!
Labda sehemu uliopo wewe...