Duh bro.... Haukusoma biology primary na secondary?! Unajua hayo ni masomo muhimu sana ambayo ndio yanakupa ufahamu juu ya maisha..Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
Acha uquma we jamaaKwani hujawahi kwenda shule kabisa? Ujifunze protini JF?
Msamehe uyo !! Kashapelekwa kwa mpalangeAkili za nyumbu hovyo kabisa, kwani kuku akitaga mayai anakula mayai?
Jibu zuriMaziwa ya mama yana virutubisho vyoote, kwanini chakula kikuu kisiwe maziwa ya mama tu maisha yetu yoote.
Huwa yanakata baada ya muda kama sikoseiMaziwa ya mama yana virutubisho vyoote, kwanini chakula kikuu kisiwe maziwa ya mama tu maisha yetu yoote.
Sawa, na vipi kuhusu Vegetarians? Na kwanini watu wanaokula nyama sana huzeeka haraka?Jaribu kula Majani kama ng'ombe uone kama utaishi (simaanishi vegetables) namaanisha majani grass..., au mpe ng'ombe nyama uone atafikia wapi...
Ngombe ni ruminants na tumbo lao lina microbacteria ambao wanasaidia kwenye digesion kufanya hayo majani ambayo ukila wewe ni uchafu ila kwa ngombe ni tofauti...,
Hii yote ni kufacilitate ecosystem ndio maana kuna herbivores, carnivores na omnivores.., wanyawa wote wangekuwa wanakula nyama mwisho wa siku animals kama species wangetoweka..., nature has got to balance Its Nature
Kwani tuna ugomvi? Soma thread zangu za nyuma kama unataka kujua elimu yangu. Rudi kwenye swali langu.Ulisoma science mkuu? End product ya protein unayoipata kutoka kwenye nyama ni amino acid,hili liko wazi kabisa kama ambavyo end product ya wanga (carbohydrates) ni glucose, this is very obvious fact, tumesoma shuleni... Nikuulize unajua end product ya maziwa? Hebu jibu hayo kwanza ili tuingie kwenye dhana ya herbivores kula nyasi na kuweza kujenga miili yao ambayo mostly ni proteins....
Hali, sasa iweje binadamu ale protini ili apate protini?Akili za nyumbu hovyo kabisa, kwani kuku akitaga mayai anakula mayai?
Nje ya mada
Wanasemaga kama mtu kanywa sumu eti akipewa maziwa anapona.
Hili lina ukweli wowote?
Kwani hujawahi kwenda shule kabisa? Ujifunze protini JF?
hawatumii kabisa ni mboga za majani pia waweza trace life la marasta wale wa kweli hawali nyama ila wapo strongWanatumia vidonge vya protein
Moderator futen na huu uzi pia ni utopolo mtupu maswal ya namna hii ukiwaza unaweza kujiona genius kumbe hamna kitu
Kuna vitu ni natural resource kuhoj vimetokea wap na nan kaviweka ni Kupoteza nda wa wadau
ajasoma biology sio kosa lakeKwani hujawahi kwenda shule kabisa? Ujifunze protini JF?
ukizungumzia swala la marasi wanakula vitu asilia, asilimia kubwa ya chakula chao wanakula ni mchemshoohawatumii kabisa ni mboga za majani pia waweza trace life la marasta wale wa kweli hawali nyama ila wapo strong
Inategemea na KIWANGO cha sumu mwiliniNje ya mada
Wanasemaga kama mtu kanywa sumu eti akipewa maziwa anapona.
Hili lina ukweli wowote?
ujakosea kabisa mkuuukizungumzia swala la marasi wanakula vitu asilia, asilimia kubwa ya chakula chao wanakula ni mchemshoo
Mkuu too much of anything ni kibaya ndio maana kuna balanced diet..., na kumbuka hizi processed meats zina makemikali ambayo ni mabaya..., ingawa sitaki kwenda in detail kwamba kula nyama ni kubaya au watu wasile nyama bila kuwa na 100 % proof and research kwamba even a small amount ni mbaya...., tuongelee vitu ambavyo vipo proven, ni kweli too much meat ni mbaya kiafya (nadhani too much of anything ni mbaya) hata ukila mchicha kwa sana na some leafy green (zina oxalate acids nyingi ) kwahio ukila kupita kiasi unaweza kupata kidney stones..., Na kwa sasa kimazingira hata hizo nyama / maziwa unayokunywa yanatokana na ngombe wanaokula too much grains/energy feeds amabazo naturally ilibidi wale majani (sio mavyakula ili waweze kukua kwa muda mfupi)...Sawa, na vipi kuhusu Vegetarians? Na kwanini watu wanaokula nyama sana huzeeka haraka?
Je, ina maana binadamu anaweza kuishi bila kula nyama, mayai, wala maziwa na akapata protein zote anazohitaji toka kwenye vyakula vya mimea (vegetable based)?
Umri huu kurudi shuleni tena na uku milo mitatu inanipiga chenga itawezekana kweli
Upo nje ya mada hatukujibu, nenda kawaulize wamasaiNje ya mada
Wanasemaga kama mtu kanywa sumu eti akipewa maziwa anapona.
Hili lina ukweli wowote?