Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,524
Wanasema ndugu zangu waislamu kutembea ni elimu ni kweli kabisa ila tuliopo nao hawa watawala wamekwenda kupiga picha.
Kuna nchi ukienda unaweza kujiuliza wanaishi vipi wakati mimi nilipotoka kuna kila kitu.
Nchi yetu ndio ufahamu pesa zinaingizwa mfukoni na mpaka leo bila msaada wa wale tunajengewa choo.
Kuna nchi hata vyanzo vya mapato ya nchi vilikosekana ila walitumia waliosomesha na ndio hawa wamekuwa wawekezaji,wanunuzi wa maligafi,mabeberu,watupa mikopo na n.k
Kuna mada ya bima ya Afya niliweka ni kwamba lile kundi la watu ambao ni kikosi kazi cha CCM doria mtandaoni hata tatizo la maji wanaweza kusema uchimbe visima.
walikuja haraka kusizisha uzi kwa hoja za ajabu.
Kwenye mgodi wa geita mkubwa ambao kwa mwaka unazalisha matani ya dhahabu ile bima ya afya 2000 watu milioni 62 iliweza kulipiwa kila mwaka na sio 2000 tu ni 5000 ili kila mtanzania kuongezewa shilingi.
Haya tuna madini,mbunga, bandari na kila uchafu