M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,740
- 20,760
Walioingiza watu kwenye maandamano ni Samia, Kikwete, Abdul, Mafwele na timu yote ya wasiojulikana(wafiraji, watekaji na wauaji) kwani bila matendo maovu ya hiki kikundi hakuna ambaye angeandamana.Bora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions 🤣
Huna sera...huna hoja..maneno machafu na matusi na kejeli ndio mmebakiwa navyo....keyboard warriorsnaona hilo neno limekuuma sana 😁
Ukitafuta wewe inatoshaOya tafuteni konekshen za pesa ..achaneni na umbeya
katawaze kwanza ndio urud kukoment ...au ulidhani tabu ya maji wanapata waliondamana tu...tabu iko palepaleHuna sera...huna hoja..maneno machafu na matusi na kejeli ndio mmebakiwa navyo....keyboard warriors
Andamaneni tena mle shaba za vichwa..hay mambo hayaitaji hasira kusolve
Katawaze kwanza ndio uje ulete uchawa jukwaani.Ndiyo mliyonayo ..mnafikiri mipasho matusi kejeli dhihaka ndio solution na zaidi unadhani wao Wana shida wao Wana special treatment ya kupata maji masaa 24...unafikiri watanzania wote ni mafukara? Unadhani kila mtanzania ana shida ya maji ...Na zaidi you can not use that water issue as a weapon eti kuwakebehi ambao hawataki maandamano wanachagua amani ..it's fucking useless kuishiwa akili....
Mzee si ujibu umetawaza? Kama bado achana na huu uzi usitie nuksiHuna sera...huna hoja..maneno machafu na matusi na kejeli ndio mmebakiwa navyo....keyboard warriors
Andamaneni tena mle shaba za vichwa..hay mambo hayaitaji hasira kusolve
Sawa mlevi.Ukitafuta wewe inatosha
Ndiyo mliyonayo ..mnafikiri mipasho matusi kejeli dhihaka ndio solution na zaidi unadhani wao Wana shida wao Wana special treatment ya kupata maji masaa 24...unafikiri watanzania wote ni mafukara? Unadhani kila mtanzania ana shida ya maji ...Na zaidi you can not use that water issue as a weapon eti kuwakebehi ambao hawataki maandamano wanachagua amani ..it's fucking useless kuishiwa akili....Katawaze kwanza ndio uje ulete uchawa jukwaani.
Katawaze kwanza ndio uje ulete uchawa jukwaani.
Ndiyo mliyonayo ..mnafikiri mipasho matusi kejeli dhihaka ndio solution na zaidi unadhani wao Wana shida wao Wana special treatment ya kupata maji masaa 24...unafikiri watanzania wote ni mafukara? Unadhani kila mtanzania ana shida ya maji ...Na zaidi you can not use that water issue as a weapon eti kuwakebehi ambao hawataki maandamano wanachagua amani ..it's fucking useless kuishiwa akili....katawaze kwanza ndio urud kukoment ...au ulidhani tabu ya maji wanapata waliondamana tu...tabu iko palepale
tukuletee gunzi utawaze mkuu .....au gongo itakufaa zaidi mtu mzima hutawazi si jambo zuri asee....maendeleo hayana chama 😁Ndiyo mliyonayo ..mnafikiri mipasho matusi kejeli dhihaka ndio solution na zaidi unadhani wao Wana shida wao Wana special treatment ya kupata maji masaa 24...unafikiri watanzania wote ni mafukara? Unadhani kila mtanzania ana shida ya maji ...Na zaidi you can not use that water issue as a weapon eti kuwakebehi ambao hawataki maandamano wanachagua amani ..it's fucking useless kuishiwa akili....
Nani hao ?Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
Sasa imefikia hadi hapa; watu wanaogopa hata kuandika mada inayoeleweka wasije wakatekwa?Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
oya, acha kufuatilia wambeya, rudi kwenye konekshen zako za pesa, unatuita kwa nn, .... mkiwa wachache huko si ndio utapiga sana mapene, baki huko, unafanya nn humu ???Oya tafuteni konekshen za pesa ..achaneni na umbeya
Msechu huwa anandika muda mrefu kabla ya tukio, likitokea la kutokea yeye ana kubadilisha jina la aliyekwenda. Stoo yake imejaa ngoma.Msechu anaandika mashairi anafuta anaandika anafuta.