M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 6,661
- 15,964
Walioingiza watu kwenye maandamano ni Samia, Kikwete, Abdul, Mafwele na timu yote ya wasiojulikana(wafiraji, watekaji na wauaji) kwani bila matendo maovu ya hiki kikundi hakuna ambaye angeandamana.Bora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions š¤£