Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 3,303
- 6,507
Umetawaza? Manake mtaani hakuna majiBora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions š¤£