Ku nani mkuu?Sioni shamrashamra tulizozizoea. Kimya ila wingi wa wale kila mahali
WHO ARE YOUKu nani mkuu?
Hahaha, sasa nimeelewa.WHO ARE YOU
Eti nini?Hahaha, sasa nimeelewa.
Nimeelewa.Eti nini?
Umbea ni ajira na unalipa ujue.Oya tafuteni konekshen za pesa ..achaneni na umbeya
Nisheie kidogo bana, mi'netoka kapaNimeelewa.
Ngoja nimwendee mlata mada PM anifafanulie nami nitakuja kukufafanulia.Nisheie kidogo bana, mi'netoka kapa
Mbona machawa mmeajiriqa kwa kupiga umbea?Oya tafuteni konekshen za pesa ..achaneni na umbeya
Bora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions 🤣Mbona machawa mmeajiriqa kwa kupiga umbea?
Mbona mimi sijapata kesi wala sijafa wala sijaumia na kuhusu hao machawa mbona huzungumizii wale mliotatuliwa marinda na matapeli waliojifanya wanawafanyia vetting ya teuziBora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions 🤣
Sawa Mkuu wa itifaki tumekupata ila mwanadamu hataishi kwa mkate peke yake!Oya tafuteni konekshen za pesa ..achaneni na umbeya
MabiiiiiiiiBora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions 🤣
Maoni haya yanafikirisha sana. Afrika ya KusinI wasingepambana, wangekuwa bado wanaishi kwenye ubaguzi wa rangi hadi leo. Walifungwa, waliuwawa lakini hawakuacha mapambano.Bora hata machawa wanapiga pesa tena kwa amani kwa kusifia tu ...nyie mnaandamana mmeambulia nini zaidi ya Vifo, makesi mahakamani na matatizo Bure ..waliowaingiza kwenye maandamano wamepiga billions 🤣