Tuna shamba eka 1,000 morogoro tunataka ushirikiano wa kulilima

Ungefanya utaratibu wa hati miliki na kutafuta mtaalamu akuandikie bussiness proposal. Then mkachukue mkopo bank. Achana na uchuuzi, hapo mnatakiwa kufanya usettler kama wazungu wa zimbabwe.
 
Kama uko serious sio lazima sana ulitumie shamba lote kwa mara moja. Tenga ten acres halafu fanya yafuatayo

1) . Nunua Ng'ombe Jike kama Kumi mpaka Ishirini
- Mitamba kams 10. Walozaa Kama 5 na Ndama 5
- Chagua Fresians, Asians na Mpwapwa (Hawa wanahimili Joto)

2) . Wazalishe kwa artifiacial Insermination (Uzalishaji wa chupa) faida yake ni kuwa unaweza chagua mbegu ya ndama uitakayo

3). Tenga tena Ekari tano lima mazao haya yafuatayo
A. Green Beans, zinauza sana, na majani yake utalishia ngo'ombe zako
B. Baby Corn (Mahindi Machanga) yanauza sana, na majani yake yana maziwa kwa ng'ombe
C. Alizeti utapata mashudu
D. Desimodiamu(kiingeereza ila sikumbuki spelling) ni majani yenye maziwa sana.

Kwa kufanya hivyo ng'ombe mmoja ataweza kukupa lita za maziwa 20 mpaka 40 kwa mkamuo mmoja. Jumla lita 40 mpaka 80 kwa siku kwa ng'ombe mmoja.

Kwa ushauri zaidi na jinsi pia ya kuwapata nitakupa mawasiliano, na ukitaka hao ng'ombe ntakuuzia na ushauri wa kitaalamu ntakupa. Pia mifano hai nitakuonesha na ntakupeleka kwa mashamba mengi.

Baada ya muda hizo ekari ulizotenga zitakuwezesha kuendesha shamba lote in five years to come.

Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ila unachangamoto hapo kwenye ng'ombe vp shamba lipo mbali na soko la maziwa hauni kuna shida ya kuyasafirisha hayo maziwa hadi sokoni?
 
Aaah. Yaani ng'ombe ishirini unataka uwafugie karibu na soko? Si utatafuta soko na kusafirisha maziwa? Wewe bwana unawaza kichuuzi sana. Hebu niuzie mimi hilo shamba basi?

Madam kumbuka huyu mtu hana mtaji wa kutosha na imagine shamba lipo mbali na upatikanaji wa public transport anawezaje kusafirisha maziwa kila siku hadi sokono bila kua na usafiri wake binafsi ambao unahitaji investment nyingine tena?
 
Ungefanya utaratibu wa hati miliki na kutafuta mtaalamu akuandikie bussiness proposal. Then mkachukue mkopo bank. Achana na uchuuzi, hapo mnatakiwa kufanya usettler kama wazungu wa zimbabwe.

Sio rahisi kama unavyofikiria ukienda kitu cha kwanza utaambiwa ulete audited statement ya last six month bongo hatujafikia hiyo level bado
 
Back
Top Bottom