AgriGanic - Tz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 415
- 1,000
Haya maisha yamekuwa mafupi sana, ukipata nafasi ya kumuonesha mtu upendo mwoneshe, akiumwa kamuone, akikuomba msamaha msamahe, ukimkumbuka kamjulie hali
#Usiyape majivuno nafasi tuna muda mfupi sana.
C&p
Sent using Jamii Forums mobile app
#Usiyape majivuno nafasi tuna muda mfupi sana.
C&p
Sent using Jamii Forums mobile app