Tuna laana si bure

Tuna laana si bure

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1449480360371.jpg
 
halafu wansema wa south wanashunda tenda kweli hii ni laana
 
tulishalaaniwa siku nyingi. Na mbaya zaidi aliyetulaani alishakufa. Labda JPM atatuagua upya.
 
ndomana kunamkurugenzi wakampuni hiyo alivyo maliza kazi akafungua na AMANA Bank
 
Laana itukose vipi kama tunaua vikongwe na albino afu tunakwiba mpaka dawa afu ndugu zetu wakiugua tunawapeleka hospitali hizo hizo
 
Pengine tiba imepatikana its too early to judge

Haiwezi kuwa tiba sababu wameiba ushindi na kuapa kwa vitabu vitakatifu kama wameshinda kihalal bado laana itazidi kututafuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom