..Nadhani kitendo cha kupeleka majeshi kule kimetufanya kuwa na hisa za utawala huko!PJ, nilibaki kinywa wazi nikimsikiliza Membe! Utafikiri anaongelea mkoa mmojawapo wa Tanzania. Hata ingekuwa ni Umoja wa mataifa wanongelea hili jambo tungeona diplomasia katika matamshi yao. Hivi hawa watu wetu huko chuo cha diplomasia huwa wanasoma nini? Ni kulewa madaraka au ni ubabe wa kweli, au tunataka kuwavuta kama Zanzibar? Who are we to speak with that tone? I though I went to a wrong theater that is why I was watching a wrong movie!
Kiukweli Tanzania ni kilanja wa kisiri siri Afrika mashariki na ya kati, viongozi hawataki tu kusema... Ukiangalia kiundani karibu nchi zote za Afrika Mashariki na ya kati kama vile Burundi, Rwanda DRC, Comoro, Uganda kote serikali ya Tanzania imetia mkono wake kusaidia kuwaweka madarakani viongozi waliopo.
Sa ni nani alietupa madaraka haya ambayo ni mzigo wa lawama?
Tunaonekana nchi ya mazuzu kwa kuingilia mambo ya watu kila kukicha!...huh!
...........Hivi hawa watu wetu huko chuo cha diplomasia huwa wanasoma nini?
Sa ni nani alietupa madaraka haya ambayo ni mzigo wa lawama?
Tunaonekana nchi ya mazuzu kwa kuingilia mambo ya watu kila kukicha!...huh!