Sahihi kabisaTuliwaonya ACT kuwa these CCM defectors kwa vile wamekosa maslahi yao na si kwa vile CCM haitendi haki, wasipokelewe. Ona sas anavyoleta sintofahamu!
Wanahama CCM kwa vile wamekosa matarajio yao na si kwa vile wamekerwa na dhuluma ndani ya CCM!
Membe ni takataka kama zingine ndani ya CCMUshindi wake alisema ni wa dakika ya 89