Tumuunge mkono ndugu Humphrey Polepole

Waungwana Asalam aleykum!

Nimemfuatilia ndugu yangu Humphrey Polepole kwenye darasa lake la uongozi kwenye utube, nami nimebaini yakuwa anafanya Jambo jema Sana kwa Taifa.

Naamini mutakubaliana na Mimi kuwa elimu ni Jambo la msingi Kati ya Mambo muhimu tunayohitaji Kama Taifa.

Ndugu Humphrey Polepole anatoa mada mzuri za elimu na anapata uungwaji mkono na watu wengi

Inachofurahisha ni kwamba mada zake hazitetei chama chochote, dini yoyote Wala kabila lolote, kitu ambacho ni Nadra kukiona, kwa watoa mada wengi, wengi wao huegemea kutetea maslahi yao, chama Chao au hata dini yao

Kwakweli Taifa litafakari hili na liunge mkono

Kila chama kitengeneze kipindi Cha kuelimisha watu juu ya masuala ya Taifa na chama Chao, kwa wiki au kwa mwezi watu wasikilize na waulize maswali na wapewe ufafanuzi

Wizara mbalimbali, ama ofisi za mikoa, bunge, ama mahakama pia jeshi la polisi, warushe vipindi Kama hivi kuelimisha watu juu ya masuala yote yanayoendelea katika idara zao, watu wasikilize na kuhoji pia

Nimeshangaa watu wanapiga simu kwa Humphrey Polepole wanahoji Mambo ambayo walipaswa kuulizwa watu wengine serikalini, Kama vile ishu za tozo, na chanjo

Cha kushangaza baadhi ya watu wanabeza juhuji hii ya Polepole, eti kwa Nini asifanye enzi za mwendazake.

Hivi mnasahau Mama Samia alinyamaza kimya enzi za jiwe na Sasa anachukuwa hatua kadhaa zilizo kinyume?

JPM pia alinyamaza kimya enzi za JK na akachukuwa hatua alipopata urais?
Ukimfuatia JK, Mkapa, pia Mwinyi utagundua yapo Mambo walikaa kimya, na waliyachukulia hatua walipopata urais

Tatizo la chama changu CCM, wanajua kuunga juhudi kwa anachofanya mwenyekiti tu. Haya ya Polepole yangekuwa ni ubunifu wa Raisi ungeona mapambio, na hekaheka za kila mteule wa Raisi kuunga juhudi!

Jamani, Polepole anaupiga mwingi, Tumuunge mkono!
Huyo Chakubamga ni mnafiki kama shetani. Anatafuta attention kwa kuhujumu serikali ya chama chake mwenyewe. Ingekuwa raisi Samia ni dikteta kama alivyokuwa hayati Magufuli,chakubanga angekuwa ameshafanywa kitu mbaya!

Chakubanga ni wa kupuuzwa tu. Hana lolote uchu wa madaraka unamsumbua na kwa kuwa nchi hii kuna wajinga wengi,kuna watu wanamsikiliza,but the guy is useless and hopeless kabisa!
 
Kuna watu wakati wa Magufuli walijiona dunia yote ni mali yao sasa baada ya Mungu kuingilia kati wamebaki wamechanganyikiwa na aibu juu ndio hao akina Polepole na mwenzake Bashiru.
 
Kwanza tuwekane sawa, unazungumzia Polepole yupi hasa? Yule wa tume ya jaji Warioba?? Yule wa viii eighty au huyu aliyefurushwa juzi na kupewa ujumbe wa viti maalum??
 
Waungwana Asalam aleykum!

Nimemfuatilia ndugu yangu Humphrey Polepole kwenye darasa lake la uongozi kwenye utube, nami nimebaini yakuwa anafanya Jambo jema Sana kwa Taifa.

Naamini mutakubaliana na Mimi kuwa elimu ni Jambo la msingi Kati ya Mambo muhimu tunayohitaji Kama Taifa.

Ndugu Humphrey Polepole anatoa mada mzuri za elimu na anapata uungwaji mkono na watu wengi

Inachofurahisha ni kwamba mada zake hazitetei chama chochote, dini yoyote Wala kabila lolote, kitu ambacho ni Nadra kukiona, kwa watoa mada wengi, wengi wao huegemea kutetea maslahi yao, chama Chao au hata dini yao

Kwakweli Taifa litafakari hili na liunge mkono

Kila chama kitengeneze kipindi Cha kuelimisha watu juu ya masuala ya Taifa na chama Chao, kwa wiki au kwa mwezi watu wasikilize na waulize maswali na wapewe ufafanuzi

Wizara mbalimbali, ama ofisi za mikoa, bunge, ama mahakama pia jeshi la polisi, warushe vipindi Kama hivi kuelimisha watu juu ya masuala yote yanayoendelea katika idara zao, watu wasikilize na kuhoji pia

Nimeshangaa watu wanapiga simu kwa Humphrey Polepole wanahoji Mambo ambayo walipaswa kuulizwa watu wengine serikalini, Kama vile ishu za tozo, na chanjo

Cha kushangaza baadhi ya watu wanabeza juhuji hii ya Polepole, eti kwa Nini asifanye enzi za mwendazake.

Hivi mnasahau Mama Samia alinyamaza kimya enzi za jiwe na Sasa anachukuwa hatua kadhaa zilizo kinyume?

JPM pia alinyamaza kimya enzi za JK na akachukuwa hatua alipopata urais?
Ukimfuatia JK, Mkapa, pia Mwinyi utagundua yapo Mambo walikaa kimya, na waliyachukulia hatua walipopata urais

Tatizo la chama changu CCM, wanajua kuunga juhudi kwa anachofanya mwenyekiti tu. Haya ya Polepole yangekuwa ni ubunifu wa Raisi ungeona mapambio, na hekaheka za kila mteule wa Raisi kuunga juhudi!

Jamani, Polepole anaupiga mwingi, Tumuunge mkono!

Ujinga tu. Kwanini hakutoa hiyo elimu kipindi ananunua wabunge wa upinzani?

Kwa sasa ile ni kuidharau serikali ya Samia na siyo vinginevyo.
 
Shida ya watu aina ya Humphrey Polepolr ni kwamba wao hawajali kuhusu utambulisho wao, wanachoangalia ni manufaa binafsi tu. Ndio maana kuna Polepole wa Tume ya Katiba ya Warioba, huyo ndio OG, kabla haja mutate na kuwa Polepole wa Magufuli. Sasa hivi tuna Polepole wa Samia. Hakuna ajuaye Polepole atasimamia nini baada ya 2025. Hana tofauti na kirusi cha korona. Ni wa kuogopwa kama ukoma
 
Mbona hakumpa mwendazake hii elimu?
 
Humjui huyu mnafiq wewe.
 
Hichi kibabu kimenyanganya v8 kinapiga kelele, tu
 
Polepole huyu huyu aliyefisadi mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara? Huyu ni mnafiq sana anapigania tumbo lake tu. APUUZWE TU.
 
Naunga mkono JF 💪💪💪. Hilo dude lako Polepole, kamuunge mkono ww dudu mwenzake 😂😂😂
 
Polepole huyu huyu aliyefisadi mabilioni kwenye ile project haramu ya kununua wapinzani uchwara? Huyu ni mnafiq sana anapigania tumbo lake tu. APUUZWE TU.
Mafisadi wapo CCM, CHADEMA, MISIKITINI, MAKANISANI na ndani ya JF
 
Shida ya watu aina ya Humphrey Polepolr ni kwamba wao hawajali kuhusu utambulisho wao, wanachoangalia ni manufaa binafsi tu. Ndio maana kuna Polepole wa Tume ya Katiba ya Warioba, huyo ndio OG, kabla haja mutate na kuwa Polepole wa Magufuli. Sasa hivi tuna Polepole wa Samia. Hakuna ajuaye Polepole atasimamia nini baada ya 2025. Hana tofauti na kirusi cha korona. Ni wa kuogopwa kama ukoma
Thread inashauri kuunga mkono utoaji elimu katika mamlaka mbalimbali za Serikali kwa mfano wa Polepole na si kumshabikia Polepole, chuki binafsi zinawafanya kutoelewa maudhui ya mtoa mada
Kwani kutoa elimu ya masuala ya Taifa ni vibaya?
Chuki itawapeleka jehannam
"Mpende adui yako" alijisemea mkuu wa Dunia yote
 
hebu usitake kutuharibia jumapili yetu tulivu hapa! kwa uwezo wa Mungu mkuu, hako kanafiki katapigwa dafrao lisilo la kawaida na atabaki kama alivyo. kwanza aliyekwambia hiko kipindi cha hako kazee kanapata umaarufu nani?!!! kamwambie mkajipange tena......kutoboa chini ya kivuli cha unafiki ni ngumu mnoooo! kamwambie hivyo.
Mtoa mada ameweka hoja zake vizuri wewe unaleta chuki tu
 
Back
Top Bottom