LUSAJO L.M.
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 270
- 126
Mwk,
nilikuwa sijasoma hii bio ya Rachel aliyoiweka kwenye hiyo website. Kumbe Rachel ni mwanaccm tena permanent?
Tena anafanya kazi kwa mwizi mama Mkapa?
Hapa kazi ipo? siamini hata unampigia debe Rachel!
well i have seen girls who are unattractive but this one tops my list.
Instead of concerntating doing that the thing to do is give support to our Miss Tz 2007/08.
siwezi kupigia kura shindano la kutafuta miss, kwa sababu sioni faida yake kwa tanzania kama nchi
Sidhani kama kuwa mwanachama wa CCM kuna mdisqualify mtu kushiriki jambo lolote au kufanya jambo lolote vinginevyo tutajikuta tunaingia kwenye mtego wa chama cha Baath cha Iraq. Kigezo kiwe ni ufisadi bila kujali rangi, chama, itikadi n.k Kama kuna mtu anamtuhumu kuwa ni mfisadi basi hiyo yaweza kuwa kigezo.. so far hakuna mwenye tuhuma hizo. So go Rachel kwani yeye ni Raia wa Tanzania na ana haki zote kama Raia wa Jamhuri yetu!! Miye nimeshapiga, wewe je?
Admin naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na baadae unaweza kuihamishia kwenye forum yoyote utakayoona inafaa.
Ndio mambo ya protokali hayo yanawashinda wengi sio viongozi wetu tu ! lakini wakishindwa viongozi wetu wao wa kwanza vidole kuwawasha kwenye keyboard na kunza kulalama, lakini wakikosea wao hata ukiwaambia kwa upole utaambiwa usiyotaka kusikia !
lakini tumezoea, hayajaanza leo wala jana !
Ama kweli ccm wameishiwa.
Yaani kulinganisha uovu na viongozi wa serikali na suala la kugombea umiss? Kuanzia sasa wewe ni Iraqi info minister?
Unasema chochote anytime you want!..... ukisikia kuchemsa ndio huku.
Nimeshangaa Mwafrika Wa Kike Aliposema Hiyo Ujumbe Amepewa Kwa Pm , Sijui Ni Nani Aliyempa , Lazima Aliyempa Atakuwa Ni Mwanachama Wa Jambo Kwanini Yeye Mwenyewe Hakuamua Kuiweka Katika Ukwa La Sanaa Na Burudani ?
Hapa Siasa Watu Wanajadili Mambo Mengi Likiendelea Kukaa Hapa Kesho Tu Watu Wanasahau Na Hiyo Itakuwa Ni Bye Bye
Lakini Mimi Nimeshaiweka Katika Mailing List Yangu Hakuna Matata