Tumuunge mkono mwakilishi wa Tanzania

Marie2.jpg


I don't know about you guys.. but I think this one Maria Kiyungu should represent both Tanzania and Burundi (we in the same EA Community after all).. I think she is over qualified and she got the "Kilimanjaro - to the Roof of Africa" thing going on ... don't you think so?

Yaani jamani mwanakijiji,

umechagua the best picha ya jirani ukaiweka hapa...lol

Mbona basi usiweke na ya Rachel? au ulikuwa na nia gani hapa?
Unanitisha mwenzako
 
Nilitaka kuweka na picha ya Rachel lakini hakuwa ameshikilia "mlima Kilimanjaro" au hata mlima "Udzungwa".. sasa.. nikadhani kuwa labda huyu jirani yetu angeweza kutuwakilisha in case something comes up with Rachel.. Si unauona mlima Kilimanjaro To the Roof of Africa.. what can beat that? Au mwenzangu unaangalia kitu gani maana miye na uzee huu sioni vizuri.
 
na kuhusu aliye olewa nilimaanisha aliyeolewa kinyemela ni huyo dada wa Rachel nikimaanisha Hoyce Temu
 
Mwk,

nilikuwa sijasoma hii bio ya Rachel aliyoiweka kwenye hiyo website. Kumbe Rachel ni mwanaccm tena permanent?

Rachel Anderson Temu, who was crowned Miss Africa California U.S.A. for 2007-2008 is now eyeing the Miss Africa U.S.A crown. She is now involved in several activities that carry responsibilities at national and international levels. At the national (Tanzania) level, she is serving as the youth permanent member of Chama Cha Mapinduzi (CCM). Rachel is currently among the Co-Founders of Tanzania Youth Parliamentary system. She is also the legal affairs head for Equal Opportunities Trust Fund under first lady Mama Anna Mkapa. However, she is advocating the rights for children who are mentally retarded at Sinza Kwanza Special School. In addition, she is the panel member for Tanzania Tourism after she became the 1st Runner up on Miss Arusha 2002.

Tena anafanya kazi kwa mwizi mama Mkapa?

Hapa kazi ipo? siamini hata unampigia debe Rachel!
 
Leo nimempigia kura Temu, baada ya kuona wanakijiji mnahimiza uzalendo kwenda mbele, ila mwanzoni nilipo ona tukiombwa kumuunga mkomno kule kwa Michuzi halafu maelezo yake sijui wanaita wasifu ama wajihi... anaweka maelezo ya CCM ufisadi????? Moyo wangu ulikuwa umekuwa mzito! samahani ila huo ndo ukweli!
 
u c..!! sijui nani alikukaribisha huku.. ushachafua mada ya watu bwana.. hao wala hawako kwenye mashindano..
 
No Mwanakijiji....it's all your fault...wewe unamjua Brazameni...ulivyobandika ile picha ni sawa na kumchokoza....
 
Jamani nimepokea hii kwenye PM yangu nikiombwa niiweke hapa JF ili kuhamasisha watanzania (watakaopenda) kumuunga mkono Rachel Temu anayeshiriki kwenye MISS AFRICA UNITED STATES.

Admin naomba uiache hapa kwa muda ili watu wengi waione na baadae unaweza kuihamishia kwenye forum yoyote utakayoona inafaa.



Mshindi anapatikana kwa kupiga kura online na Watanzania tufuate hiyo link hapa ili kumpigia kura Rachel Temu:

http://www.missafricaunitedstates.com/mausa/vote.htm

Asanteni.

MWK, hii niliishaweka hapa kule kwenye mchanganyiko na nimeshampigia kura kama 100 hivi, wala hakuna ubaya wowote kuiweka tena. Ndiyo tunampigia kura kama Mtanzania na uzuri pia anao, hawa wa kutoka nchi nyingine wenye kura nyingi wala hawajamzidi kiasi hicho ni uzalendo tu wa watu wa kwao kumnyanyua mwenzao, Wabongo pia tunaweza kumnyanyua mwenzetu.
 
No Mwanakijiji....it's all your fault...wewe unamjua Brazameni...ulivyobandika ile picha ni sawa na kumchokoza....

i know.. yaani najuta sasa.. lakini nafikiri nikosa la huyo dada wa Burundi kutuwekea picha ya Mlima wetu..!! so I just fell in love with the mountain..!
 
u c..!! sijui nani alikukaribisha huku.. ushachafua mada ya watu bwana.. hao wala hawako kwenye mashindano..

hahahahah umenivunja mbavu maana ulipoweka tuuu kuna mtu alikuonya kuwa Braza men ataiona na atajibu mapigo. Sasa umeonaaa? nadhani huu ni mwanzo tuu atakuwa amejichimbia mahali kusaka vitu zaidi na mada itakuwa ya kiutu uzima na si mashindano tena. Ila huyu Msenegali ni kiboko mwanangu duh hebu mwangalieni vizuri?

http://www.missafricaunitedstates.com/mausa/vote.htm
 
brazameni kule vipi sasa ?

ebwana kule sijui tunaingia vipi maana naona jamaa wanataka sijui tu apply upya visa ya kuingia

sasa mimi nina video kibao za kuweka mle lakini sijui prosija za kuingia mle zikoje

ndio maana mwanzo nika suggest kuwa sisi maveterani tuwe na ile ENTRY badala ya kuomba visa si unanipata hapo mchizi wangu?
 
Mhhhhhhhh,

Kama nia ni kufanya hii thread ihamishwe, basi Admin mnaweza tu kuihamisha au kufuta posting za Brazamen.

I always know one thing.... Sexism is as bad as fashism.
 
Pole!

Mbona leo mpaka usiku ama zege halilali?

Nimepata message toka kwa a friend kuhusu hizi posting (ambazo some of my feminist friends zinawakwaza) kwenye thread hii ndio ikabidi nije hapa.

Admin,

Naomba uhamishe hii thread....... Forum irudi tu kwenye siasa na mambo yake mengine ya kawaida.

NOTE;

Sexism is as bad as Fashism.
 
Mada ni nzuri na kama huyo TEMU alianza kuonyesha hicho kibooty chake then wenzie nao wanajibu mapigo

Kula busu hilo ....

brazameni,
Nami nakuomba basi uanzishe thread nyingine ili kama unavyofanya 'kawaida yako' inayohusu picha za 'mbogamboga' ili watu tuweze kuzitazama huko. Najua admin hajalegeza msimamo wake kuhusu 'visa' ya kuingilia huko, ila kama wanavyokuomba wachangiaji wengine, nami pia nakuomba uipe nafasi thread hii kama jinsi ilivyo anzishwa izungumzie hilo. Ahsante.

SteveD.
 
unajua hata ukinuna, lakini akipita brazameni hapa kibarzani utacheka tu ! mwaga utirio bana weweeeeeeeeeeeeeeeee !
 
Please note that the results of this online poll do not affect the overall judging for the pageant

Nikiangalia maelezo hapo juu yaliyo juu ya zile picha, sioni kama kuna maana ya kupiga kura wakati haibadilishi chochote kwenye matokeo ya Jumla, labda mnieleze vinginevyo!
 
Nadhani anapaswa kuungwa mkono na inabidi tulegeze misimamo yetu mikali na kujirudi ndiyo kukua.

Namtakia mafanikio mema kwani nadhani akipata taji itakuja tanzania na siyo india.
 
Back
Top Bottom