Tumuunge mkono mwakilishi wa Tanzania

Sijawahi kulalamika kuhusu posting za thread, lakini sasa I think sometime muungwana Semvula Chole na Brazamen wako sahihi kuna double standards humu, ni thread zipi zikae kwenye siasa na zipi zitoke. Jamani, mi naonelea tukiamua kitu basi lets have a level playing field. Kesho akiweka Brazamen watu mnaanza ooh unaharibu thread..hii thread ni urembo pure! sasa siasa iko wapi?

No pun intended ila nimechukua jukumu kama la mzee BUTIKU (mwanachama mtiifu wa CCM) mimi ni mwanachama mtiifu wa Jambo Forum! Kwa sababu swala la thread linapigiwa kelele sana humu mpaka watu wanataka kupigana na kutoana macho (online??)

Lets stop double standards. Otherwise Semvula Chole na Brazamen watakuwa wanaonewa for no good reason.

All the best Rachel na huyo dada wa Kobelo!

unajua niliandika maandishi yanayofanana na yako humu humu lakini post zangu mbili zilifutwa

Kisa? wenyewe washaamua kuwa hii thread ikae hapa mpaka watakapo amua

kusema ukweli kuna mambo mengi ambayo inabidi yafanyike lakini kama ujuavyo hayo hayowezekana kwa sababu mbali mbali na moja wapo ni hili la DOUBLE STANDARDS

One minute Mwafrika wa kike analalmika kuwa yeye kama FEMINIST yuko offended na picha za wanawake na vichupi lakini Mwanakijiji na yeye wanungana mkono kuweka picha za huyo binti na kichupi

lakini hayo mkuu wee yaache ndio maisha ya JF kwa sasa na of course there is no room for dissent or different view lakini hatuishi kulalama eti serikali iwe wazi

ever heard charity begins at home? lakini kwa hili inaonekana kuwa kwenye hiyo home kuna wanaishi ndani na wengine wanalala barazani

anyway ndio maisha hayo. By the way leo nimemaliza sita
 
Kama una matatizo au chuki na mimi it is ok ukazisema tu hapa coz I can take your whinings!

Haya mambo ya kupondea JF wakati unaishi humu as a member hayasaidii chochote. Kama unaona hakuna different view hapa mbona usianzishe website yako na uiite:

websiteinayoshindananaJFnaambayoinadifferentview.com

Kila mara unatafuta sababu ya kupondea JF, hivi unalazimishwa kuwa memba hapa au kusoma content?
 
kuna wengine wanapondwa bure, lakini hii thread ilitakiwa iondoshwe zama nyingi sana kwenye ukumbi wa siasa.

whats political about miss africa usa??
 
Back
Top Bottom