Huyo MONOBAN si ndiye aliyepora NMC Arusha mali ya wavuja jasho.uliona wapi kiwanda kama NMC kinauzwa kwa bei ya kutupa?

Kama G Lema akizingua watu watato kura zao kwa chama kingine ila sio CCM kwani CCM haikubaliki katika jiji la Arusha toka mfumo wa vyama vingi vianzishwe so kama unandoto za CCM kushinda Arusha sahau kabisa labda iwe ndotoni lakini sio katika uhalisia wa kweli
Tajiri mkubwa wa mahoteli ya NAURA SPRING, IMPALA, NGURDOTO Bwana Mrema hataki hata kumsikia Lema. Vurugu za Lema zimesababisha mikutano mikubwa ya kimataifa kuhamishiwa Dar na hivyo mahoteli mengi ya Arusha kupata hasara
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.
Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.
Mkuu CCM Arusha bado iko strong kuliko wakati wowote ule.
Mimi nina uhakika 100% kuwa mwaka 2015 jimbo la Arusha mjini na lile la Nasary yanarudi mikononi mwa CCM.

arusha mjini iringa mjini na mbeya historia inaenda kuandikwa upya
Mkuu CCM Arusha bado iko strong kuliko wakati wowote ule.
Mimi nina uhakika 100% kuwa mwaka 2015 jimbo la Arusha mjini na lile la Nasary yanarudi mikononi mwa CCM.
huku kwetu ukienda unaagiza kinana baridiTembo mmewamaliza wenyewe kwa kumtumia dentist wenu.
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.
Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.
Kwani wewe ni MTALII?Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.