Tumuangushe Godbless Lema 2015

Tumuangushe Godbless Lema 2015

Status
Not open for further replies.
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.

Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.

mbona haujiulizi kwann kinana amezunguka sehemu kubwa lakini anaparuka Arusha?
 
Nataka mashabiki,wapambe,wafuasi,wapiga debe na mabest wa mh Godbless lema waniambie kwa maneno mafupi sana kazi huyu mbunge alizozifanya toka achaguliwe....staki emotions nahitaji facts.

ni kazi ngumu sn
 
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.

Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.

Mkuu ingependeza kama ungeshauri pia nani tumchague!!! Manake umeacha mada inaning'inia hewani!!!!!
 
Lema ameamsha vijana wengi sana na watu wengi tumejua haki zetu,unaposema eti utalii umeshuka kwa sababu ya lema sio kweli.kwani mbuga zinahama au milima inahama?lema yuko juu na arusha bado wanamuhitaji sana kama hauamini muulize Kinana anayezunguka mikoa yote lakini anaogopa kuja arusha kwa sababu ya lema.na pia sasa wananchi wengi wameelimika hakuna wa kudanganywa tena jamani
 
Lema ameamsha vijana wengi sana na watu wengi tumejua haki zetu,unaposema eti utalii umeshuka kwa sababu ya lema sio kweli.kwani mbuga zinahama au milima inahama?lema yuko juu na arusha bado wanamuhitaji sana kama hauamini muulize Kinana anayezunguka mikoa yote lakini anaogopa kuja arusha kwa sababu ya lema.na pia sasa wananchi wengi wameelimika hakuna wa kudanganywa tena jamani

ee kweli tunakazi
 
Nani kakwambia amepora? ?? Acheni majungu ...hamtaki ndg zenu watanzania wawe na maendeleo? ?? Amekodishiwa NMC. Sijui ulitaka nmc ikae bila kufanya kazi ndio utaona raha ...

waambie hao wamezoea uzushi.
 
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni

Ebola imepunguza watalii kuja Africa, ni lema pia kaleta Ebola? Kukuonyeshea lema atakavyoshinda 2015 subiria matokeo serekali za mitaa.
 
From CLIFF JANN
Ndugu wananchi naomba kupata wasaa wa kutembea nakuitazama TANZANIA ya leo katika kile tunachoita uhuru wa mawazo katika kila jambo pasipo kutizama muktadha wa nchi, muda mwingine kuvuma kwa upepo hakubadili kutokea kwa jua, TANZANIA imejaaliwa UPENDO NA AMANI....

MWANZO walivotujia tuliona vyema kubadili na kuwepo na USAWA kuwapa nafasi za uongozi katika vitongoji na kata na majimboni kwetu ili KULETA USAWA NA UTETETEZI WA WANYONGENA MASKINI WANAOUMIA mkapate kupaza sauti zao UMEKUWA KINYUME tena uvunjifu wa AMANI na maandamano yasiyokuwa na tija kwa taifa letu teule.

LEO KALAMU YANGU KWAKO MH GODBLESS JONATHAN LEMA. mwaka 2005 nilikuaa kinda nilipenda siasa zako msemakweli huchukiwa, msema uongo kama wewe ambao haudumu hushangiliwa ashakumu si matusi kwa sauti yako ya kimamlaka na hoja tengefu ila bahati haikuwa yako SIASA NI UPEPO NA KULINGANA NA WAKATI.

PUNDE UKAKIMBILIA CHADEMA PANGO LA MABADILIKO, VYANZO VYA VURUGU.

kwa sera zenye mashiko tulikukabidhi jimbo LAKINI HATA KIMOJA ULICHOTIMIZA, tangu ulipotuahidi kwenye kampeni zako 2010 , zimebaki simulizi kama za ALFU ULELA ULELA.

UMEKUWA HUISHI KUANDIKA WARAKA tena ZILIZOJAA UBAGUZI NA UNAFIKI WA DHAHIR. Umejaaliwa kuandika nakufananisha na JOGOO AMBAE HUAMKA MAPEMA LAKINI HAFUNGUI MLANGO.

UONGOZ NI MASHIRIKIANO NA UONGOZI ULIOPO KULETA MAENDELEO NI SI MIFARAKNO KWANI ARUSHA NI JIJI LA UTALII
 
Dodoma kwenyewe sio ridhik tena humwoni Ndungai alivyokuwa mpole bungeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom