MikeGolles
Member
- Mar 31, 2012
- 73
- 9
huyu jamaa hawezi rudi amedeliver poorly-%
Niambie kwa Arusha ni yupi aliyedeliver successful kati ya hawa wote waliotangulia Saibulu' Kinana' Mrema na sasa Lema
huyu jamaa hawezi rudi amedeliver poorly-%
Kwahiyo lema akiangushwa ndio watalii watakuja arusha?
wamekumbuka kuchezea koki mkuu... Mwakani wataoga sanaNi nani basi wa kumweka na aweze kumshinda lema? Mnataka kuangusha MBUYU kwa kutumia Visu? Akili ndogo hizo ndugu na hadi Mkuu wa kaya MUSIC wa Lema anaujua! Labda nendeni kwa Kigoma kwa kuwadi wenu.
Lema atuachie Arusha yetu
siasa za vurugu zimepitwa na wakati
Kiushabiki ninajulikana kwa kuwafagilia sana CHADEMA.Chini ya kamanda G Lema Chadema ina mizizi imara kwenye jimbo hili la Kitalii.
Leo nataka niseme ukweli ambao CHADEMA hawatapenda wala kufurahia kuusikia.
Endapo CHAMA CHA MAPINDUZI kitachanga karata zake vizuri na kumleta mgombea ajilikanaye kwa jia la kampuni yake MONABAN hapo kuna uwezekano mkubwa wa mizizi na uimara wa CDM Kung'ooka kabisa jimboni Arusha.
Kwa sasa MONABAN ndiye Kamanda wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha.
Sifa nyingi za kumsaidia kushinda Ubunge anazo,
1.Rasilimali watu iko upande wake ANAO MAHUSIANO MAZURI NA WATU WOTE.
2.DINI zote wanamkubali kwa 87% na wasio na dini wanamkubali kwa 33%.
3.Ana uwezo mkubwa wa ushawishi na kuwafanya watu Arusha wadumu katika Umoja na Amani idumuyo.
4.Lengo na shauku yake ni kuona kila Raia anainuka kuichumi/Kimaendeleo.Mh.G.Lema anajua sana nguvu za huyu MONABAN.Jihadhari Mh.G.Lema Usije ota Kiburi CCM watashinda kirahisi na kihalali 2015 maana nguvu za mtu huyu sio za Fedha,ugali,chips na soda tu.
Lema atuachie Arusha yetu
Weshaambiwa CDM hata ikisimamisha jiwe Arusha litashinda hawataki kusikia. Huyo msakatonge anatafuta njia ya kula pesa ya huyo tajiri.Tatizo sio mtu Arusha ila tatizo CCM haitakiwi Arusha sasa kama hauijui vizuri Arusha fatilia historia ya Jiji la Arusha
jiandae kupoteza weweNi Historia gani isiyobadilika katika dunia hii?
CHADEMA sio Mungu chama Jimboni Arusha iweni makini mtapoteza kilaini kama mtadhani ninyi Mmelibinafisisha jimbo.
Kiushabiki ninajulikana kwa kuwafagilia sana CHADEMA.Chini ya kamanda G Lema Chadema ina mizizi imara kwenye jimbo hili la Kitalii.
Leo nataka niseme ukweli ambao CHADEMA hawatapenda wala kufurahia kuusikia.
Endapo CHAMA CHA MAPINDUZI kitachanga karata zake vizuri na kumleta mgombea ajilikanaye kwa jia la kampuni yake MONABAN hapo kuna uwezekano mkubwa wa mizizi na uimara wa CDM Kung'ooka kabisa jimboni Arusha.
Kwa sasa MONABAN ndiye Kamanda wa Vijana wa CCM Mkoa wa Arusha.
Sifa nyingi za kumsaidia kushinda Ubunge anazo,
1.Rasilimali watu iko upande wake ANAO MAHUSIANO MAZURI NA WATU WOTE.
2.DINI zote wanamkubali kwa 87% na wasio na dini wanamkubali kwa 33%.
3.Ana uwezo mkubwa wa ushawishi na kuwafanya watu Arusha wadumu katika Umoja na Amani idumuyo.
4.Lengo na shauku yake ni kuona kila Raia anainuka kuichumi/Kimaendeleo.Mh.G.Lema anajua sana nguvu za huyu MONABAN.Jihadhari Mh.G.Lema Usije ota Kiburi CCM watashinda kirahisi na kihalali 2015 maana nguvu za mtu huyu sio za Fedha,ugali,chips na soda tu.
Ni Historia gani isiyobadilika katika dunia hii?
CHADEMA sio Mungu chama Jimboni Arusha iweni makini mtapoteza kilaini kama mtadhani ninyi Mmelibinafisisha jimbo.
CCM Arusha imejimaliza yenyewe kwa kukumbatia sera ya uzawa.