assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
Mapato ya jiji la Arusha yameongezeka maradufu katika kipindi cha ubunge wa Lema.barabara za Lami zimeongezeka n.k n.k
no data no research no right to speak
Mapato ya jiji la Arusha yameongezeka maradufu katika kipindi cha ubunge wa Lema.barabara za Lami zimeongezeka n.k n.k
Lema harudi 2015 hata Mungi anajua
Unadhani sijui, mziki kwenu ni maandamano na kupambana na polisi sasa hapo unadhani kuna maendeleo
Maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba sasa kama kwako maandamano hayataleta maendeleo inafaa ujiulize ni kwa nini hawa watu wanaandamana.Sio Chadema pekee ndio wanaandamana walimu/wanafunzi/waandishi wa habari/madaktari/wafanyakazi/wakulima na makundi mengine mengi ioa inakuwa nongwa Chadema wakiandamana.
Suala la kupambana na police ni kukataa udhalimu wa jeshi kutumika kunyima haki za msingi zilizopo katika katiba,sio za kuomba ni za kutekelezwa hatutakubali kupokonywa kwa maslahi ya wahuni wachache.
mkuu vp ripoti ya mabomu arusha mbowe keshaipeleka au anataka watu waendelee kuuwawa
ss maandamano yote hayazidi watu20 ni vibango hsyo sio maandamano ni matembezi
Raisi anayo majina ya wauza unga hayajashughulikiwa ,anayo majina ya majangili na hajayashughuliki kwa maana ya kuchukua hatua kali za kisheria hicho unachoulizia unafikiri kitabadili hali ya mambo(hujuma) ?
Kama sio maandamno ni matembezi kwa nini kila wakati mnaweweseka mkisikia Chadema wanaandamana !?.Mnatumia kodi zetu vibaya kuandaa polisi nchi nzima kuzuia matembezi ya Chadema !??????.Tulieni vivyo hivyo.
Achana na hao wanaotumia masaburi kufikiriMapato ya jiji la Arusha yameongezeka maradufu katika kipindi cha ubunge wa Lema.barabara za Lami zimeongezeka n.k n.k
hupaswi kuficha ushahidi
Your wish is next to impossible mission to accomplish!
Kumbuka pia ule msemo unaosema dua la kuku halimpati mwewe.
Inajulikana wazi kuwa miongoni mwa wabunge wa CDM ambao magamba wasingependa kabisa warejee kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, basi Godbless Lema anaweza kuwa top of the list.
Lakini magamba wanapaswa kuzingatia kwa makini ule msemo unaosema Mungu si Athumani!
CCM washamba sana,hapa Mwanza propaganda ya Wenje kuchuja imetamalaki na wao ndiyo vinara,but wakazi tunaona uhalisia ,sasa sijui anadanganywa nani but Mwanza CCM hawawezi nyanyuka no matter nani atagombea kupitia CDM
Umetoka ktk hoja ,jadili ulichokileta.
mkuu nshakujib kesi zingine huzioni kwa kukosa ushahidi so hupaswi tn kuficha evidence
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni
huyu jamaa hawezi rudi amedeliver poorly-%