Tumuangushe Godbless Lema 2015

Tumuangushe Godbless Lema 2015

Status
Not open for further replies.
Wakoloni walisharudi kitambo ila wamebadili tu majina(wawekezaji/wahisani) na wanachuma kwa kadiri ya uwezo wao na hakuna wa kuwazuia ,nnaona unaruka ruka tu mithili ya kunguru kwani mada umeisahau ghafla ?.

Najibu namna mtu alivyojenga hoja
 
Chadema pekee ndio inaweza kumwangusha Lema. We vote against cCm.
 
Lema akagombee machame, Atuachie jiji letu tupumue kidogo
 
Hata mcheze mdumange uchi hamuwezi even kuweka hata mgombea arusha mtabaki kuweka washiriki wa uchaguzi tu. Ara hamnaga ccm chalii etu
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta
 
Mnataka kuangusha kisiki, kisiki hakiangushwi bhanaaa hata kwa wizi wa kura. Tutazilinda kura siku zote 24/7 mpaka matokeo yatoke. Manyang'au wakubwa nyie.
 
Shamba likikushinda liache masisiem mnajua lema ndie tatizo la nyie kulichukua hili jimbo mnajifanya mnatushauri tummwage lema ili mshinde tangu lini mmekuwa na huruma na chadema kwaniArusha sisi wote ni chadema.Mtakaa sana.Katika maisha hakuna msaada mkubwa na maendeleo kwa yeyote kama mtu kukupa ujasiri.Arusha ni wajasiri kwa ajili ya lema na tutaendelea kukataa ukandamizaji na tutasimamia utawala wa sheria.
 
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta

wewe ndo umefanya makosa..Mimi anakura yangu bado 2015..
 
Ccm ni janga kwa taifa! Ni vizuri mwaka 2015 watanzania tukayapunguza magamba kwenye majimbo mbalimbali!
 
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta

Ni nani basi wa kumweka na aweze kumshinda lema? Mnataka kuangusha MBUYU kwa kutumia Visu? Akili ndogo hizo ndugu na hadi Mkuu wa kaya MUSIC wa Lema anaujua! Labda nendeni kwa Kigoma kwa kuwadi wenu.
 
kwani ndo waziri wa utalii au uchumi? ondoa serikali iliyopo madarakani yenye kuhusika na hayo mambo badala ya kulialia hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom