Tumuangushe Godbless Lema 2015

Tumuangushe Godbless Lema 2015

Status
Not open for further replies.
Kwa bahati mbaya hao watalii hawasomi hizo propaganda za ccm dhidi ya Lema, pia ujue hakuna mtalii anayekuja kumuona Lema bali kuona wanyama Serengeti, Manyara, Ngorongoro nk. Sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii kwa taarifa yako ndio kada ya watu wenye maisha mazuri hapa Arusha kuliko kada nyingine. Propaganda kama hizi wanaziamini wazee waliojaa umaskini kwa kisingizio cha amani, niwaambie ccm pia mnaruhusiwa kushinda jimbo la arusha ila kwa kura halali vinginevyo kitendo cha nyinyi kulazimisha kulitwaa jimbo la arusha kwa kutumia hila na jeshi kutawafanya kuwa na kesi ya kujibu kwenye mahakama za kimataifa.
 
Godblee Lema akitaka asitake 2015 ataangukia pua....jimbo tunahakikisha tunalichukua au vinginevyo tunampa mgombea wa chama kingine kisicho na dira ya vurugu...Mimi binafsi natarajia kutangaza nia ya kurudi nyumbani na nitagombea naomba Mungu anijalalie chama changu kinipitishe katika kura za maoni... Hivi sasa tunaelekeza nguvu zetu kuhakikisha serikali za mitaa tunazizoa zote halafu pia madiwani tutahakikisha CDM wanaambulia sifuri...TUMECHOKA NA VURUGU NA FUJO TUNATAKA AMANI NA MAENDELEO

wananchi wanamsubiria kwa hamu
 
Siku za Lema kuwa mbunge zinahesabika wala usiwe na wasiwasi mimi ndiyo nakuambia.
 
Nataka mashabiki,wapambe,wafuasi,wapiga debe na mabest wa mh Godbless lema waniambie kwa maneno mafupi sana kazi huyu mbunge alizozifanya toka achaguliwe....staki emotions nahitaji facts.
 
Nataka mashabiki,wapambe,wafuasi,wapiga debe na mabest wa mh Godbless lema waniambie kwa maneno mafupi sana kazi huyu mbunge alizozifanya toka achaguliwe....staki emotions nahitaji facts.

mkuu kweli we ulikua commando take 5
 
Nataka mashabiki,wapambe,wafuasi,wapiga debe na mabest wa mh Godbless lema waniambie kwa maneno mafupi sana kazi huyu mbunge alizozifanya toka achaguliwe....staki emotions nahitaji facts.

Kuisambaratisha CCM hiyo ndiyo tulichomwagiza sisi wakazi wa Arusha
 
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni

Kama hujui siasa za Arusha usizisemee, madereva wa watalii ndo wanaongoza kwa kuipenda Chadema Arusha, huwa wanajiita wao ndo wenye chama, hata mavazi yao ni kombat. Chadema Arusha ni zaidi ya chama cha siasa, ni imani. Lema ni alama ya ukombozi na uhuru wa kweli, ni kielelezo cha ujasiri na uzalendo. Tunapaswa wote kuiga ujasiri wake katika kutafuta haki na uhuru wa kweli. Kwahiyo hakuna wa Kumwangusha lema, na kuthibitisha hilo tusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa Dec, 2014. Uwe makini kufuatilia Uchaguzi wa jimboni kwa Lema, ili ukate tamaa kabisaa.
 
Huu ni wosia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la Arusha Mjini.

Jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii.Tusifanye makosa tena tutajuta.

Kama hujui siasa za Arusha usizisemee, madereva wa watalii ndo wanaongoza kwa kuipenda Chadema Arusha, huwa wanajiita wao ndo wenye chama, hata mavazi yao ni kombat. Chadema Arusha ni zaidi ya chama cha siasa, ni imani. Lema ni alama ya ukombozi na uhuru wa kweli, ni kielelezo cha ujasiri na uzalendo kwa watu wa Arusha. Tunapaswa wote kuiga ujasiri wake katika kutafuta haki na uhuru wa kweli. Kwahiyo hakuna wa Kumwangusha lema, na kuthibitisha hilo tusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa Dec, 2014. Uwe makini kufuatilia Uchaguzi wa jimboni kwa Lema, ili ukate tamaa kabisaa..
 
for sure kwa Arusha CCM isahau, wakaazi wa Arusha tunajua waliyoyafanya CCM kujimilikisha majumba na maeneo muhim ya jiji letu kabla ya uongozi huu uliotukuka wa Lema ( WAO WANA PESA NA SISI TUNA MUNGU). Ni mara 100 ya mabaya ya LEMA kuliko UFISADI wa CCM. go, go... Lema goo... go..go CHADEMA goo.. together forever.
 
Uwe nasubila na uwe unafkilia kwanza jua pesa znatoka zamiladi wanaizuia mafsadi ebu tizama wkipata rais wa ukawa itakua kama ulaya.uskurupuke2
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom