tumsifu yesu kristo.........

tumsifu yesu kristo.........

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Jamaa mmoja alikwenda msikitini uku ameshika "panga" mkonon alipofika ndani akauliza NANI MWISLAM? wahumini wote kimya! akauliza tena majibu yakawa yale yale wote kimya! akamkamata muumini 1 ak atoka nae nnje akwomba amsaidie kuchinja mbuzi na kumchuna ngoz! jamaa akamsaidia kumchinja lkn akamwambia kuchuna hawezi! alipomaliza kumchinja akamrudishVa jamaa panga! jamaa akachukua panga likiwa limelowa damu akarudi msikini! alipofika mlangoni tu, imamu akasema "TUMSIFU YESU KRITO" wahumini wakajb MILELE AMINA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom