Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Habari
Nimewaza mchakato wa kumpata Rais wa nchi yetu kupitia CCM ulivyogubikwa na mbinu chafu za kutaka kuweka watu wao katika mfumo. Baada ya Ndugu Edward Lowassa kuenguliwa mpasuko mkubwa ukatokea.
Wanachama wakagawanyika na hatimae JPM akapenyeza na wafuasi wa Lowassa wakampitisha. Magufuli anachokifanya leo kinawaumiza sana baadhi ya wanaccm ambao walikuwa wanufaika wa system. Natoa shukrani za dhati kwako Ndugu Edward Lowassa kwa kutuletea JPM.