nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
teh teh, lini anawaheshimu viongozi wake? Je kupokelewa mabango yanawatukana viongozi wa chama na chama ndo kuheshimu na kutii viongozi na chama? Huu ni zaidi ya unafiki!ni lini na ni wapi zitto ameshindwa kuwaheshimu viongozi wake?
Ni lini na ni wapi zitto ameshindwa kuwa mtiifu kwa chama chake?
Zitto ni mtiifu kwa chama,viongozi na wanachama na ndio maana ana wavumilia mkimtukana, zitto amzungumzii mtu jukwaani lakini hao so called viongozi ndio wanamzumzia kila leo na anawavumilia.
Zitto hawezi kuwazui watu kumsifia au kumpenda maana matendo yake ndio yanawafanya watu wampende hata wa ccm hasa kwa uzalendo wake.
Hata ccm wamekuwa wakimsifu mnyika refer to lukuvi na makinda.
Tatizo chadema mnachukulia siasa kama vita ndio maana hata kizuri hamtaki kisifiwe.
Ni lini na ni wapi zitto alisema yeye ni zaidi ya chadema?
Sisi tunae muona uwezo wake ndio tunaona yeye ni zaidi ya chadema.
Mimi nafikiri wewe ndio una hitaji ushauri.
Kwa hili la mapinduzi ndani ya chama kakurupuka mjomba!
akili yako ndio mwisho wake kufikiri umeishia hapo ok angalia kiganja chako chamkono hata akili zipo hivoNaona mweshimiwa umekuja na acount nyingine haaahaaahaaaa hongera kwa mkutano ulio fanya nyumbani kwenu kigoma.
akili yako ndio mwisho wake kufikiri umeishia hapo ok angalia kiganja chako chamkono hata akili zipo hivo
teh teh, lini anawaheshimu viongozi wake? Je kupokelewa mabango yanawatukana viongozi wa chama na chama ndo kuheshimu na kutii viongozi na chama? Huu ni zaidi ya unafiki!
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.
Zito anapambana na watu waliofanikiwa badala ya kujifunza kwao.
teh teh, lini anawaheshimu viongozi wake? Je kupokelewa mabango yanawatukana viongozi wa chama na chama ndo kuheshimu na kutii viongozi na chama? Huu ni zaidi ya unafiki!
mbona viongozi wa chadema wameshindwa kumweshimu zitto?
Daah hiki kitu watu roho zinawauma sana.
View attachment 128242
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali humu ndani, nimejiuliza swali hilo hapo juu. Je, Chadema itakufa Zitto akifukuzwa uanachama? Katika mijadala mingi ukiisoma unaona kwamba kuna mgongano tu wa mawazo kwa vyama hivi viwili vinavyokimbizana kwenye siasa zetu hapa nchini, CHADEMA na CCM. Wale wa CCM mijadala yao yote inamtetea ZITTO na kumuona kwamba bila Zitto hakuna CDM. Wale wa CHADEMA bado wana msimamo wao wa kwamba Zitto ni msaliti katika chama.
Hebu sasa tuache bias zote za vyama hivi viwili, hebu tuingie akilini sasa tujiulize kwa fikra pevu, ni kweli bila Zitto Chadema haipo?
Watu wameegemea kwenye misafara ya viongozi wawili walioenda Kigoma, Dr. Slaa na Zitto, lakini tukumbuke kwamba mmoja hajaitembelea Kigoma, ni mwenyeji wa Kigoma, ni mbunge kutoka Kigoma. Dr. Slaa alipata mapokezi makubwa, Zitto amepata mapokezi makubwa, nani anakubalika zaidi? Mgeni au mwenyeji?
Kwangu mimi ili nione kwamba CDM ni Zitto, aende Mwanza, Arusha, Moshi, Dar, Mbeya, Iringa nk. apate mapokezi makubwa hivi.