MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali humu ndani, nimejiuliza swali hilo hapo juu. Je, Chadema itakufa Zitto akifukuzwa uanachama? Katika mijadala mingi ukiisoma unaona kwamba kuna mgongano tu wa mawazo kwa vyama hivi viwili vinavyokimbizana kwenye siasa zetu hapa nchini, CHADEMA na CCM. Wale wa CCM mijadala yao yote inamtetea ZITTO na kumuona kwamba bila Zitto hakuna CDM. Wale wa CHADEMA bado wana msimamo wao wa kwamba Zitto ni msaliti katika chama.
Hebu sasa tuache bias zote za vyama hivi viwili, hebu tuingie akilini sasa tujiulize kwa fikra pevu, ni kweli bila Zitto Chadema haipo?
Watu wameegemea kwenye misafara ya viongozi wawili walioenda Kigoma, Dr. Slaa na Zitto, lakini tukumbuke kwamba mmoja hajaitembelea Kigoma, ni mwenyeji wa Kigoma, ni mbunge kutoka Kigoma. Dr. Slaa alipata mapokezi makubwa, Zitto amepata mapokezi makubwa, nani anakubalika zaidi? Mgeni au mwenyeji?
Kwangu mimi ili nione kwamba CDM ni Zitto, aende Mwanza, Arusha, Moshi, Dar, Mbeya, Iringa nk. apate mapokezi makubwa hivi.
kwasababu humjui zitto ndiyo maana unaongea haya lakini wakati utatuambia tu.
Yaani huyu kategeshewa kingi kaingia mwenyewe jumla. Chama kilikuwa kinatafuta ushahidi wa wazi kutoka kinywa chake mwenyewe na hatimaye kimeupata bila jasho. Huyu hachomoki asilani. Chezea magwiji wa sheria na siasa waliotulia pale Mtaa wa Ufipa weye; pana vichwa pale usifanye mchezo.
kamshauri mbowe...ondokeni tu zzk ni kipenzi cha waTZ[/QUOTE
Acha ujinga! Wa Tz wapi? Jisemee binafsi
zitto akifukuzwa chadema haitokufa bali itapotea kwenye siasa kama nccr mageuzi.tlp na cuf
wewe mwenyewe ni chadema chumbani kwahiyo lazima utametetea slaa ili upate chakula lakini ukweli bila zitto hakuna chadema kabisa.Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali humu ndani, nimejiuliza swali hilo hapo juu. Je, Chadema itakufa Zitto akifukuzwa uanachama? Katika mijadala mingi ukiisoma unaona kwamba kuna mgongano tu wa mawazo kwa vyama hivi viwili vinavyokimbizana kwenye siasa zetu hapa nchini, CHADEMA na CCM. Wale wa CCM mijadala yao yote inamtetea ZITTO na kumuona kwamba bila Zitto hakuna CDM. Wale wa CHADEMA bado wana msimamo wao wa kwamba Zitto ni msaliti katika chama.
Hebu sasa tuache bias zote za vyama hivi viwili, hebu tuingie akilini sasa tujiulize kwa fikra pevu, ni kweli bila Zitto Chadema haipo?
Watu wameegemea kwenye misafara ya viongozi wawili walioenda Kigoma, Dr. Slaa na Zitto, lakini tukumbuke kwamba mmoja hajaitembelea Kigoma, ni mwenyeji wa Kigoma, ni mbunge kutoka Kigoma. Dr. Slaa alipata mapokezi makubwa, Zitto amepata mapokezi makubwa, nani anakubalika zaidi? Mgeni au mwenyeji?
Kwangu mimi ili nione kwamba CDM ni Zitto, aende Mwanza, Arusha, Moshi, Dar, Mbeya, Iringa nk. apate mapokezi makubwa hivi.
..unajua maana ya uhafidhina...kuso lake ukiacha mengine ni kuleta utengeno badala ya umoja....kwa sasababu ya njaa ya fedha...with poor egoisimkosa lake lipi kikatiba au manjonjo tu hapa na uhafidhina
makalio yameruhusiwa rasmi kutumika kwa kazi ambazo kichwa kilikuwa kinafanya, hivyo tuona na kusikia mengi. Nyerere alikufa TZ ipo, itakuwa huyu kijana?? achene makalio nayo yatanue vichwa viko likizo.
..kw jina lako sikushangai..mimi mwenyewe ustadhi mzuri tu..najua tulivyo sisi na viunafki vyetukamshauri mbowe...ondokeni tu zzk ni kipenzi cha waTZ
cha ajabu yeye kimyaaa, nyinyi ndio kutwa kumsemasema!
..kw jina lako sikushangai..mimi mwenyewe ustadhi mzuri tu..najua tulivyo sisi na viunafki vyetu