Husika na kichwa cha habari hapo juu. mm ni mtanzania mwenzako mwenye mapenzi na nchi yetu naomba kila mwenye mchango ambao utajenga ktk swala hili lililo ibua hisia za wengi ktk nchi hii kwa sasa aweze kutoa mchango wake naamini kuwa kuna watu mbalimbali kutoka ktk sekta mbalimbali kila mmoja tusikie mchango wake
naanza kwa mchango wangu ningependa kama kunauwezekano haya yafanyike
1 mchanga ule umwagwe na kupembuliwa kama hakuna kijiwe cha thamani kilicho fichwa ambacho kitatumika kumtia adabu ngozi nyeupe
2 riport isichapishwe au nakala wasipewe kwa sasa ili kama tumekosea tuweze kuichakachua iandane kidogo na uhalisia
3 walio kuwa karibu na sakata hili hususan wanaofanya kazi pale watupe njia nyingine ambazo wanatuibia kupitia hizo ili wakati kunaanza kupitia mikataba na mambo mengine tuweze kuziba mianya yote tukimaliza tumemaliza tusifukue tena makaburi