Tumsaidieni kijana mwenzetu

Tumsaidieni kijana mwenzetu

Jana nilisikiza habari ii ikanifanya nami nikumbuke mbali kutokana na historia zetu za haya mambo yaliyoteka dunia kufanana, kuna kijana uyo aliyekuwa na mahusiano na binti, kutokana na kauli yake yalikuwa mahusiano yenye furaha na amani pia kama mjuavyo mapenzi yanaraha yake pale mnapokutana wote mnapendana kweli kweli, walifika mbali mpaka kwenda kutambulishana kwenye familia zao ,na kijana alikuwa tayari kumfanya mke ule mdada kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo kwake. ixu ikaja pale ambapo jamaa alikuja kuhalifiwa na mmoja wa watu wake wa karibu kuwa aliyekuwa akidhania kuwa ndiye mke wake wa maixa kachumbiwa na mtu mwengine na ndoa yao aiko mbali xana kufanyika, jamaa kama alistuk kimtindo nakutoamini kilichokuw Kinaongelewa ikabidi amlukie hewani mdada na kumwulize iyo habari maskini mdada akukataa akamwambia ukweli na kuxema kuwa amefosiwa na dad yake aikuw\a hitaji lake, jamaa akuwa na la kufanya,akauachia mzigo ukaenda kwa jamaa, mdada akafunga ndoa na sa iv anaishi na aliyejaaliwa ZANZIBARIIIIII, ndugu yang uku anabaki na maumivu yake, MSISIKIE JAMANI YANAUMA VIBAYA, msaada wenu wanajamii


mi huwa huo usanii siwezi lakini anayeweza afanye kadiri awezavyo tabia ya utapeli wa wanaume nakujifanya na neno lao " pale napiga tu" sasa kakutana na aliyekuwa anahitaj kupigwa tu kapata anayemuoa anasubiri nini . unaacha mali mkononi unasubiri ahadi? biig up dada
 
sasa sijui asaidiwe kwa lipi???anya ways kwa haraka haraka mwambie aje humu aweke bandiko la kutafuta mchumba, ila humu awe makini
 
aminas Mkuu ; Kwani ndiyo mwisho wa dunia? Warembo wapo tele, Penzi lake litamvaa aliejaaliwa na Mungu, Maisha yasonge mbele !!
 
Last edited by a moderator:
Mapemzi haya ila ndo tatizo la kumchelewesha weeeee muda wote bint unae kwann usimpige ndoa
 
Back
Top Bottom