Tumsaidie huyu kimawazo

Tumsaidie huyu kimawazo

Binti hana shukrani, akifanikiwa mahali iende kwa baba aliyemkimbia akiwa na miaka mitatu, hiyo ndoa itamsumbua huko mbeleni na Kuna jambo litamkuta. Malipo huwa ni hapahapa, hakuna swala gumu kama kumlea na kumsomesha mtoto wa mwanaume mwingine mpaka chuo tena unayejua baba yake yupo anatomba tomba tu huko. Halafu afanikiwe ajifanye kujisogeza kwa sperm donor mmoja hivi. Kwa mnaolea watoto humu mtakuwa mnanielewa vizuri.
Ujumbe mzito huu kwa wale wanaolea mali za wengine
 
Baba mlezi anataka mahari apokee yeye na sio baba mzazi kama binti anavyotaka
Na mimi kwa utu uzima wangu huu anayestahili kupokea mahari ni huyo mlezi! Huyo binti kama anaona hasitahili kupokea mahari ili hali ndiye aliyemfikisha hapo kimakuzi na kielimu wakati baba mzazi kamtelekeza, ujue huyo binti mpumbavu na ningekuwa mchumba wake nampiga chini! Huyo sio mke wa kuoa na tayari mustakabali wa familia anayoenda kuijenga ni laana tupu!
 
Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu
Nimeikuta mahali

UBUNTU - BOTHO
Huyo Binti ni mpumbavu, arudishe gharama alizosomeshewa then aendelee na babaake mzazi
 
Kupiga rangi nyumba yangu hakuifanyi kuwa yako!
Wewe kama ni mpangaji utaondoka na vitu vyako huku nikikushukuru kwa kupaka rangi nyumba yangu.
Ni mifano miwili ambayo haiendani kabisa na Kuna waliokupa likes, kukuta mwanamke ametelekezwa na mtoto ukaamua kumlea ni jambo la kujitolea sana. Hakuna kazi kama kulea kiumbe hadi kimalize primary, secondary hadi chuo. Gharama yake hailipiki kwasababu inahusisha hadi hisia za Kila siku kwa miaka zaidi ya ishirini(Siku 7300). Kwahiyo mnaongea hapa ki simple tu. Huyo binti kakosa shukrani na Kuna uwezekano huko mbeleni akaachwa single mother akajifunza kwa mfano halisi. Hii dunia Ina kanuni zake, amini usiamini.
 
Ni mifano miwili ambayo haiendani kabisa na Kuna waliokupa likes, kukuta mwanamke ametelekezwa na mtoto ukaamua kumlea ni jambo la kujitolea sana. Hakuna kazi kama kulea kiumbe hadi kimalize primary, secondary hadi chuo. Gharama yake hailipiki kwasababu inahusisha hadi hisia za Kila siku kwa miaka zaidi ya ishirini(Siku 7300). Kwahiyo mnaongea hapa ki simple tu. Huyo binti kakosa shukrani na Kuna uwezekano huko mbele akaachwa single mother akajifunza kwa mfano halisi. Hii dunia Ina kanuni zake, amini usiamini.
But that dont make u biological father.
Kisheria kuna ownership na kuna possession. You may have a possession or custody of a property which is not yours for a long time but that doesn't guarantee you with ownership.
 
Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu
Nimeikuta mahali

UBUNTU - BOTHO
Huyo binti analeta complications tu. Unless otherwise pawe na story behind juu ya huyo baba mzazi ambayo haijawekwa wazi.

Maana haiwezekani mtu ambae amepotea tangia ukiwa na miaka mitatu, then uje kumuhusisha kwenye mahari.
 
But that dont make u biological father.
He's not trying to become her biological father, by the way how much are they paying as a bride price!?,si ni milioni 2,3 hadi 5?,zaweza kukukosesha shukrani kwa aliyekulea zaidi ya miaka 20!?,katumia kiasi gani kukusomesha!?.,mnatetea ujinga tu,na mnaotetea sidhani kama kuna hata mmoja anayelea hata mtoto wake wa kumzaa, mnachangia mada tu humu.
 
Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu
Nimeikuta mahali

UBUNTU - BOTHO

Mabinti wako hivyo. Ni wa hovyo. Huwa hawaelewagi hata mambo yaliyo ya moja kwa moja kama hili.
 
Back
Top Bottom