Binti hana shukrani, akifanikiwa mahali iende kwa baba aliyemkimbia akiwa na miaka mitatu, hiyo ndoa itamsumbua huko mbeleni na Kuna jambo litamkuta. Malipo huwa ni hapahapa duniani, hakuna swala gumu kama kumlea na kumsomesha mtoto wa mwanaume mwingine mpaka chuo tena unayejua baba yake yupo anatomba tomba tu huko. Halafu afanikiwe ajifanye kujisogeza kwa sperm donor mmoja hivi. Kwa mnaolea watoto humu mtakuwa mnanielewa vizu
Huyo Binti hana akili hata kidogo, yaani umetelekezwa tangu ukiwa kachanga na huyo mpuuzi wako halafu umelelewa na mwingine mpaka unajua mema na mabaya halafu eti mahari apewe baba jinga .Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3.
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu.
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi.
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu;
Nimeikuta mahali
UBUNTU - BOTHO
Hawa ndo wanasababisha single mothers waogopwe kama ukoma. Pengine na mama yake anahusika kimya kimya baada ya kukosa shukrani.Huyo Binti hana akili hata kidogo, yaani umetelekezwa tangu ukiwa kachanga na huyo mpuuzi wako halafu umelelewa na mwingine mpaka unajua mema na mabaya halafu eti mahari apewe baba jina .
Kumbuka pia kuzaa siyo kazi kazi ni kulea ,aliye kulea ndo mzazi wako wa ukweli.
Ndo matatizo ya kuoa single mothers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you made my day happyNdo maana watu huwa wanataka kuona tuta kwanza.....
hapo wa kupokea mahari ni huyo dingi wa kambo
Huyo binti ni mjinga,huyo baba wa kambo kapata hasara!Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3.
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu.
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi.
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu;
Nimeikuta mahali
UBUNTU - BOTHO