F.S
Member
- Sep 5, 2014
- 34
- 26
HELLO TANZANIA!!!! Jina langu ni RAHEL JOSEPH MAHENDE ,msichana mwenye umri wa miaka 22.Mimi ni mwanzilishi na mkurugenzi kampuni ya ECOPRO ambayo inahusika na uzalishaji na usambazaji wa sabuni za maji kwaajili ya kuoshea vyombo,kufulia,kunawiamikono(Handwash )sabuni za kudekia chooni n.k na ndio waanzilishi wa mradi wa ECOPRO EMPOWERING YOUTH.
Huu ni mradi unaohusika na kuwapa vijana mafunzo ya ujasiriamali na uzalishaji wa bidhaa mbali mbali ilikuwakwamua vijana kiuchumi badala ya kutegemea kuajiliwa siku zote.
Lengo hasa ni kuwahamasisha vijana kuwa na uthubutu wa kuanzisha biashara na kuzisimamia kikamilifu.
Mradi huu umefanikiwa kuchaguliwa kama Mradi bora kwenye Mashindano ya **YOUTH CITIZEN ENTREPRENUERSHIP COMPETITION** ambapo kila mtu anapata fursa ya kupiga kura mara 4 (nne) kwa siku kila baada ya masala 6, hadi tarehe 31 August 2016. Ninawaomba kwa dhati na kwa heshima mnipe sapoti ili niweze kuwa miongoni mwa watu 10 Bora na kuiwakilisha nchi yetu vyema.
JINSI YA KUNIPIGIA KURA
1. Fuata Link hii ECOPRO Empowering youth
2. Ukishuka mpaka chini utaona button ya rangi ya machungwa iliyoandikwa "VOTE"
3. Utaona Namba/Maneno (CAPTCHA) yaliyopo kwenye box juu ya button ya VOTE utayaandika kwenye box halafu utabonyeza VOTE BUTTON, Hapo utakuwa umeshanipigia kura.
ASANTENI SANA.