patrickkkkky
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 468
- 288
sasa mkuu ukituuliza kama huyu mchumba wake anaweza kuvumilia muda wote bila kumwegwa unataka sisi tukujibu nini hasa?
Mbona hao wao karibu,mie hata sisemi naweza kulia tu
Wako yupo wapi?
Tupo wengi
Hata mimi namshauri hivyo...
Long distance trade.
aaaggh ni long relationshp mweee huyo mwambie aniPM nimshauri vzur coz nadhan nimebobea ktk hilo
Kama ni uzoefu mi nachungulia kwenye diploma hivi,we je? ?
Mi bado nna certificate na sitaki ifike diploma maana sitakiweza hicho cheo.bora nijitahidi nianzr kazi na certificate
Hahahahahhahhhaha,ndio maana wengine huwakuta wapenzi wao washaolewaa maana ni kazi sana kusubiri mtu,halaf huko ndio ukute kaoaa hana hata haraka na wewe
Long-distance r/sship ni hatari sana!! Si unajua fimbo ya mbali huwa haiui nnge!!
Umeona ee yaana hapa kila kukicha nasali nilini tutakutana i cant wait.
Wewee pole sana wa kwako ndo yule kamanda wa taleban kule afganstanMbona hao wao karibu,mie hata sisemi naweza kulia tu
Hasa kwa sisi wanaume, sometimes unapata mshaasha mpaka unakata kona mkuu. Yaani.....Long-distance r/sship ni hatari sana!! Si unajua fimbo ya mbali huwa haiui nnge!!
Wewee pole sana wa kwako ndo yule kamanda wa taleban kule afganstan