Tumpe ushauri-long distance relationship

Tumpe ushauri-long distance relationship

[h=1]Newton's law of universal gravitation-distance is inversely proportional to the force of attraction. sasa waendelee kukaa mbali tuu[/h]
 
Dinazarde, shansarie na MankaM kumbe tupo wengieeee....Maana mie naishi huku KIgamboni Kibadaaa afu wifi yenu anaishi Kimara mwisho...ni shidaaa!!!!:A S cry::A S cry::A S cry:

Mbona wewe karibu hivyo tena mkoa mmoja. tatizo ni pale anapokuwa boda ya Tanga (Holoholo) na wewe uko boda ya Malawi (Kasumulo).
 
Last edited by a moderator:
Hebu tupe uzoefu mi sijakomaa bado mwenzio! !!!!!

ndugu ni kuwaombea wasichepuke tu hilo ndio kubwa.

Huyo wangu tumekaa ktk lng relation muda mrefu jaman (mda mwngne unasahau kama una mwenza ujue) basi nikawa na kaugonjwa kakumic kila wakati.
nakumwazia kama anafanya mambo mabaya, tunagombana tunapatana na vile aliniacha mjamzito jaman nilijua nshatelekezwa coz mawasiliano hakuna had nikakata tamaa nikaja hapa na uzi nikapewa ushaur. kama ujuavyo utauchukua uchanganye na akili yako ya kuzaliwa, bas bwana ikaa hivyo .

uvumilivu ulinishnda ukizngatia naulizwa baba kijacho yuko wapi nabaki natoa macho mtoto wa kike mie jaman nikajisemea. moyoni niliyataka (mimba za utoton)

Sasa bwana ikafika kipindi nikazoea hali akarud mwenyewe akakuta mtoto ana miez miwili. nashukuru mungu tunaendelea vzuri saiv nikiamin ni majaribu ya dunia na yataisha for nw nainjoi tu hata asipokuwa karibu na mim (anatafuta maisha) eeee ndio hvyo bana.
 
Tatizo si nauli...! Umbali huu na foleni...nikitoka kwangu nikifika kwake ni usiku!

Hujaamua wewe watu tunaishi nchi tofauti hapo kimara unapaona mbali.aiseee once per wk siku ambayo wote mko of utoka mapema hata mna spend few hrs pamoja acha hizo hapo hakuna umbali kabisa
 
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu wadau. Itabid nimlete jamaa asome mwenyewe hapa hapa na naamin atajiunza kitu kikubwa na atabadilika. Mbarikiwe sana.
 
Its very difficult im starting to feel it...ila uvumilivu ndo jambo la maingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom